Tulia Ackson wewe ni kiongozi mkubwa sana wa Dunia punguza kuposti picha zako Facebook


Yule ni Trump wa Marekani. Wana desturi tofauti na sisi.
 
Kama angekuwa anapost mambo ya msingi ingeleta maana na sio ule ujinga ambao huwa anapost.
 
Tunasahau Nae ni Binadamu nae ana Mambo yake anapenda Ile ni account Binafsi na nadhani Posts za Pale ni her own View, Sasa who are you to Judge her aisee?
Let her live
Kwahiyo ulitaka akomae na sheria 24/7 bila hata kurefresh mind kwenye social media,hayo ni maisha yake binafsi ili mradi tu havunji sheria...
 
Facebook ni sawa na mtu kutoka nje jioni ukapita mitaani kusalimiana na majirani, kupata habari, kupunguza stress, sioni kosa la spika liko wapi

Wewe ndiye unaiona Facebook ni mbaya, sio lazima wote tuione mbaya
Hakuna mtu kasema ni mbaya, ila mtu mzima kuposti posti ni utoto. Hata wewe kama unafanya hivyo na umevuka miaka 40, jitambue kuwa bado una akili za kitoto. Hilo halina ubishi
 
Ana utoto sana
 
Desturi gani ww acha uongo, tofauti ni kwamba wenzetu wako Civilized and they know how to mind their own business, ingekuwa ni desturi Obama nae angefanya vile lkn yeye hata acc ya Fb hakuwa nayo alikuja kufungua mwishoni wakati ndo anamaliza urais, Trump ni version tofauti kabisa na Obama wala Biden ktk matumizi ya mitandao na huoni wa Marekani wakilalamika sasa nyie huku mama wa watu maskini ya Mungu ni spika tu mnataka kumpanda kichwani
 
Tulia Jackson amekaa kilimbukeni sana.
Anajipost hovyo hovyo na vijinyimbo vya ajabu
Mie mbona sijawahi kuona hata akaunti yake, kwani nyie huwa mnatafuta nini huko?

Kama hadi umeona ujue kbs ni mteja naeanaweka bidhaa sokoni ili muone kile kinachowapeleka huko.

Sasa kuanza kumhoji kwa nini anaweka nyanya tu mtakua na changamoto ya akili.

Ee kufuatilia mtu na kuhoji mambo yake mwenyewe ni ugonjwa wa akili.
 
Wewe umepata wapi muda wa kumuanzishia Uzi?

Hiyo ni private life yake,wewe haikuhusu,

Dunia ya leo ni mitandaoni,mfano hata tajiri wa Dunia Elon yupo active mitandaoni.
Aacha uzwazwa mtumishi/kiongozi wa uma usimfananishe na mfanyabiashara, maadiri ni tofauti labda kama wewe ni mbumbu, Elon mask anaweza kutembea kifua wazi akishangilia timu yake lkn Mwigulu akifanya hivyo adharani ni maajabu.
 

Jasiri haachi asili. Huyu ni kahaba kiasili hawezi acha kujipost upuuzi.
 
Aacha uzwazwa mtumishi/kiongozi wa uma usimfananishe na mfanyabiashara, maadiri ni tofauti labda kama wewe ni mbumbu, Elon mask anaweza kutembea kifua wazi akishangilia timu yake lkn Mwigulu akifanya hivyo adharani ni maajabu.
Punguani kama wewe usiyejua hata kuandika lugha yako kwa ufasaha,utajadili nini hapa?

Nenda kajifundishe kuandika kwanza.
 
Sometimes vinguo vyake anavyovivaaga halafu anaenda kuhudhuria mikutano mikubwa ya heshima hadi unaweza kumshangaa. Mfano ana kiblauzi chake kinachomuweka kifua wazi anakipendaga sana!
 
Aacha uzwazwa mtumishi/kiongozi wa uma usimfananishe na mfanyabiashara, maadiri ni tofauti labda kama wewe ni mbumbu, Elon mask anaweza kutembea kifua wazi akishangilia timu yake lkn Mwigulu akifanya hivyo adharani ni maajabu.
Shida watanzania ni wavivu wa kusoma, hata maadili ya uma,hawajui
 
Kumbuka yeye ni mwanamke na bado yuko vizuri, hivyo bado anayo malengo yake binafsi akiwa mwanamke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…