Tulia Ackson wewe ni kiongozi mkubwa sana wa Dunia punguza kuposti picha zako Facebook

Tulia Ackson wewe ni kiongozi mkubwa sana wa Dunia punguza kuposti picha zako Facebook

Huyo ana ulimbukeni nashibdwa kujua huko Duniani walimhagua vipi? Kwa Tanzania sina haja ya kuuliza make inajulikana
Jamn mm mwanaum sijawahipoo hata kuweka ya mwanangu seize mm mwenyew kitu ambacho kinaisshi milele tupunguzen kujipost hayo waanaopostiw kttk kaz tu zinaatosha
 
Jamani mimi sijui ni mshamba au ninamaarifa kidogo, huwa napata sana shida kuona kiongozi mkubwa kama Tulia Acksoni, Spika wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, na spika wa Dunia, mtu anae ongoza maspika wote wa Dunia hii. Najiuliza anapata wapi muda wa kujipost FaceBook.

Wewe kama mwasheria ungekuwa anajikeep bize katika kupitia sheria, kanuni na mwiongozo ya bunge la Dunia, pamoja na la Tanzania.

Dhahabu inathamani sana ni kwa sbb ni adimu, huwa haipatika mara kwa mara, thamani ya mtu huwa inaongezeka kama watu huwa hawakuoni mara kwa mara.

NB: Wewe ni icon wa Tanzania Duniani, nakushauri punguza kujipost. Thamani Yako inashuka katika jamii ya kitanzania na Dunia kwa ujumla.

Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
😆😆😆😆
 
Back
Top Bottom