Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
What do mean bro
Ni sahihi, elon musk ni mfabiashara, huyo ni kiongozi ,wa Dunia, trump ni kipindi cha uchaguziDuh who are you? Hadi umpangie mtu maisha?
Elon musk .. tajiri mkubwa duniani Kila siku anachat twitter wakina Trump Rais wa marekani .. au Kisa ni Dr. Tulia ?
Mi naona ni maamuzi yake na yupo sahihi sababu kaamua afanye hivyo
Kwani kuposti picha kume katazwa?Ukisha kuwa kiongozi mkubwa, kuna mambo hata unayspenda vp ,inatakiwa uwache mkuu, vp ukiona waziri mkuu anaenda disco?
Ukisha kuwa kiongozi mkubwa, lazima uche maisha binafsi
Yeye ni icon wa Tanzania na dunia, mm ni sisimizi tuSidhani kama kupost ni jambo baya mbona wazungu wanapost muda wote. Kaangalie akaunti ya Trump wakina Elon Musk wanapost kila siku. Mwache Tulia wetu rafiki. Hiyo ndio kazi ya mtandao na huko ndiko tunako ishi muda wote kwasasa. Wewe mbona unapost jamii forum hujalalamikiwa.
Acha kuishi Kijima,Dunia ilisha toka huko,Huyo ni kiongozi
Amekuwa too much😂 El Chombo.
View attachment 3171507
Wewe kumuanzishia uzi hapa ndio matumizi sahihi ya muda wako? Au unaishi kwa Shemeji yako,so upo upo tu huna kazi?Shida ni matumizi mabaya ya mda
Wewe ni nani wakumpangia maisha? Mind ur own business.Mm nimesema apunguze na sio aache