Tulia Ackson wewe ni kiongozi mkubwa sana wa Dunia punguza kuposti picha zako Facebook

Asingefanya hivyo awamu zilizopita. Ni awamu ya wanawake.
 
Tulia hana lolote. Ni bahati tu kwamba mpumbavu kapata ndondokela ya cheo, ndiyo maana anashindwa kuficha upumbavu wake.
 
Instagram je??? Anapost na vi- caption kama vya akina shilole sometimes.... Anasikitisha
 
Tulia hana lolote. Ni bahati tu kwamba mpumbavu kapata ndondokela ya cheo, ndiyo maana anashindwa kuficha upumbavu wake.
Daaa ni shida sana mkuu, Mungu amsaidie
 
Kwa kweli anapenda sana kuji post sijui shida ni ipi πŸ˜†πŸ˜†
 
Tanzania kwa wengi hakuna tofauti kati ya mwanasiasa wa kimataifa na dada poa plus plus anayedanga mitandaoni.
 
FB ni ya wanafunzi na wahuni. Yeye anatafuta nini huko? Mshaurini huenda hajui!
 
Tanzania kwa wengi hakuna tofauti kati ya mwanasiasa wa kimataifa na dada poa plus plus anayedanga mitandaoni.
Wamepata bahati ya exposure lakini BAdo wanashindwa kuwa civilized
 
FB ni ya wanafunzi na wahuni. Yeye anatafuta nini huko? Mshaurini huenda hajui!
Ni sahihi mkuu, mtu mwenye akili timamu, mwenye hekima, na maarifa , kiongozi mkubwa hawezi kuposti picha zake fb
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…