Tulia Akson ana sauti iliyojaa kiburi na ujuaji, Samia ana sauti ya utulivu na mamlaka

Tulia Akson ana sauti iliyojaa kiburi na ujuaji, Samia ana sauti ya utulivu na mamlaka

Hyrax

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2023
Posts
1,458
Reaction score
4,409
Kama afya yako ya kiroho haijakufa ukiwasikiliza hawa watu wawili kwa makini utagundua tabia zilizo ndani yao kama umeshakufa huwezi kunielewa na utabishana kama pimbi.
 
Samia sometimes kuongea kwa utulivu nakubaliana na wewe, ila kuwa ana saut ya mamlaka, hapana kabisa mkuu.

Huyo betina sina la kuongea, anatakiwa tu akutane na zena amvunje kiuno, mwanamke wa hovyo sana huyo.
 
Kama afya yako ya kiroho haijakufa ukiwasikiliza hawa watu wawili kwa makini utagundua tabia zilizo ndani yao kama umeshakufa huwezi kunielewa na utabishana kama pimbi.
Kwa asili wanawake wa kinyakyusa wana viburi, kwa asili wanasheria wengi basa wa Tanzania wana vijitabia Vya ujuaji sana! Tulia kabeba vyote viwili!
 
Namshukuru Mungu sana siwezi kuwasikiliza wote wawili.
 
Wanyaki+Usomi=🚮Raisi kaongea kwa hekima sana.Shida huyo Betina.Ila wanawake wembamba ni changamoto sana sometimes.
 
Tulia Ackson ni moja ya wanawake watulivu,msomi,mwenye sauti ya kiuongozi.

Kinachosumbua watu wengi Duniani ni WIVU,WIVU, WIVU.

Narudia tena Tulia ndiye aliyefaa kuitwa Rais wa nchi hii,ikiwa mlihitaji Gender balance.

Tulia ndiye mwanamke ambaye hachekeshi kila baada ya maneno matatu neno linalofuata ni point.

Wanawake nisiowakubali ni Jesca msambatavangu,

Kuna Mbunge kutoka Zanzibar alituita kenge.

Kuna Mbunge mwenye heshima badala ya kuongea mambo yenye kujenga yeye anaongelea Energy drinks effects.

Lakini Tulia ni moja ya mwanamke namfuatilia Kwa ukaribu, anajiamini na hiki kwako ndicho umekiita kiburi.

Kuhusu huyo mwingine sina mwanasheria,
 
Back
Top Bottom