Wachana na wenyeshibe haoHii nchi ni ngumu sana. Kwamba kumbe:
"Hata wewe au miye tukiteuliwa kuwa pale bandarini tutakwiba tu na kuwa tatizo ni wenye midomo yao?"
View attachment 2725759
Mheshimiwa Supika atakuwa anawalenga nani haswa anaowaita kuwa ni wenye midomo.kiasi cha kumfanya kuchafukwa kiasi hiki pasi na kuwataja majina yao.
Kulikoni hata asiwataje majina msomi nguli huyu mwenye kujinasibu vilivyo kwa u nguli wake dhidi ya wengi wengine?
Au wenye midomo hao ni manguli.kama yeye, maana kama ilivyo kwa sumaku:
"Like poles repel?"
Nasikia alikuwa Kanisani Jumapili na kusikia waraka wa TEC. Halafu tamu ya mahubiri ya Katoliki hayana mjadala!!Hii nchi ni ngumu sana. Kwamba kumbe:
"Hata wewe au miye tukiteuliwa kuwa pale bandarini tutakwiba tu na kuwa tatizo ni wenye midomo yao?"
View attachment 2725759
Mheshimiwa Supika atakuwa anawalenga nani haswa anaowaita kuwa ni wenye midomo.kumfanya kuchafukwa kiasi hiki, pasi na kuwataja majina yao.
Kulikoni hata asiwataje majina msomi nguli huyu mwenye kujinasibu vilivyo kwa u nguli wake dhidi ya wengi wengine?
Au wenye midomo hao ni manguli kama yeye au hata zaidi yake, maana kama ilivyo kwa sumaku:
"Like poles repel?"
Uyu sijui anajionaje ,ogopa sana mtu kalia nafasi kubwa kwa bahati tu, uyu ni spika wa ajabu sanaHii nchi ni ngumu sana. Kwamba kumbe:
"Hata wewe au miye tukiteuliwa kuwa pale bandarini tutakwiba tu na kuwa tatizo ni wenye midomo yao?"
View attachment 2725759
Mheshimiwa Supika atakuwa anawalenga nani haswa anaowaita kuwa ni wenye midomo.kumfanya kuchafukwa kiasi hiki, pasi na kuwataja majina yao.
Kulikoni hata asiwataje majina msomi nguli huyu mwenye kujinasibu vilivyo kwa u nguli wake dhidi ya wengi wengine?
Au wenye midomo hao ni manguli kama yeye au hata zaidi yake, maana kama ilivyo kwa sumaku:
"Like poles repel?"
Yaani hapa katupilia mbali baadhi ya vifungu vya katiba vinavyomtaka kila mwananchi kutoa maoni yake kwenye jambo lenye athari kwake na wengine!!Hii nchi ni ngumu sana. Kwamba kumbe:
"Hata wewe au miye tukiteuliwa kuwa pale bandarini tutakwiba tu na kuwa tatizo ni wenye midomo yao?"
View attachment 2725759
Mheshimiwa Supika atakuwa anawalenga nani haswa anaowaita kuwa ni wenye midomo.kumfanya kuchafukwa kiasi hiki, pasi na kuwataja majina yao.
Kulikoni hata asiwataje majina msomi nguli huyu mwenye kujinasibu vilivyo kwa u nguli wake dhidi ya wengi wengine?
Au wenye midomo hao ni manguli kama yeye au hata zaidi yake, maana kama ilivyo kwa sumaku:
"Like poles repel?"
Wachana na wenyeshibe hao
Huyu ni mbulula kweli kweliHii nchi ni ngumu sana. Kwamba kumbe:
"Hata wewe au miye tukiteuliwa kuwa pale bandarini tutakwiba tu na kuwa tatizo ni wenye midomo yao?"
View attachment 2725759
Mheshimiwa Supika atakuwa anawalenga nani haswa anaowaita kuwa ni wenye midomo.kumfanya kuchafukwa kiasi hiki, pasi na kuwataja majina yao.
Kulikoni hata asiwataje majina msomi nguli huyu mwenye kujinasibu vilivyo kwa u nguli wake dhidi ya wengi wengine?
Au wenye midomo hao ni manguli kama yeye au hata zaidi yake, maana kama ilivyo kwa sumaku:
"Like poles repel?"
Nasikia alikuwa Kanisani Jumapili na kusikia waraka wa TEC. Halafu tamu ya mahubiri ya Katoliki hayana mjadala!!
Kati ya watu walio lia sana wakati Jiwe amefariki ni huyoUyu sijui anajionaje ,ogopa sana mtu kalia nafasi kubwa kwa bahati tu, uyu ni spika wa ajabu sana
Spika anakiri hadharani kuwa Bunge limeshindwa kuisimamia serikaliHii nchi ni ngumu sana. Kwamba kumbe:
"Hata wewe au miye tukiteuliwa kuwa pale bandarini tutakwiba tu na kuwa tatizo ni wenye midomo yao?"
View attachment 2725759
Mheshimiwa Supika atakuwa anawalenga nani haswa anaowaita kuwa ni wenye midomo.kumfanya kuchafukwa kiasi hiki, pasi na kuwataja majina yao.
Kulikoni hata asiwataje majina msomi nguli huyu mwenye kujinasibu vilivyo kwa u nguli wake dhidi ya wengi wengine?
Au wenye midomo hao ni manguli kama yeye au hata zaidi yake, maana kama ilivyo kwa sumaku:
"Like poles repel?"
Ili kulinda heshima ya raisi; waziri Makame Mbarawa angejihudhuru uwaziri kwa maslahi ya nchi, ili raisi apate mwanya wa kuupiga chini mkataba. Kesi inakuwa imeishia hapo. Ila kuendelea kung'ang'ana na kitu ambacho kimeonekana kina mapungufu makubwa ya wazi na bado watu wamekaza shingo, haileti afya kabisa.
Bunge la chama kimoja haliwezi kuisimamia serikaliSpika anakiri hadharani kuwa Bunge limeshindwa kuisimamia serikali
Siyo pekee yako mkuuHuyu ajuza simpendi Mungu anisamehe
Hahahaha waraka pendwa.sasa ndo kavaa mavitu gani hayo
Akili yake iko chini sana.Uyu sijui anajionaje ,ogopa sana mtu kalia nafasi kubwa kwa bahati tu, uyu ni spika wa ajabu sana
Obvious !Bunge la chama kimoja haliwezi kuisimamia serikali
Mungu bariki sauti za Watanzania ambao wanatetea haki.