Tulia na mambo ya Bandari

Tulia na mambo ya Bandari

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Hii nchi ni ngumu sana. Kwamba kumbe:

"Hata wewe au miye tukiteuliwa kuwa pale bandarini tutakwiba tu na kuwa tatizo ni wenye midomo yao?"

Mheshimiwa Supika atakuwa anawalenga nani haswa anaowaita kuwa ni wenye midomo.kumfanya kuchafukwa kiasi hiki, pasi na kuwataja majina yao?

Kulikoni hata asiwataje majina msomi nguli huyu mwenye kujinasibu vilivyo kwa u nguli wake dhidi ya wengi wengine?

Au wenye midomo hao ni manguli kama yeye au hata zaidi yake, maana kama ilivyo kwa sumaku:

"Like poles repel?"
 
Hii nchi ni ngumu sana. Kwamba kumbe:

"Hata wewe au miye tukiteuliwa kuwa pale bandarini tutakwiba tu na kuwa tatizo ni wenye midomo yao?"

View attachment 2725759

Mheshimiwa Supika atakuwa anawalenga nani haswa anaowaita kuwa ni wenye midomo.kiasi cha kumfanya kuchafukwa kiasi hiki pasi na kuwataja majina yao.

Kulikoni hata asiwataje majina msomi nguli huyu mwenye kujinasibu vilivyo kwa u nguli wake dhidi ya wengi wengine?

Au wenye midomo hao ni manguli.kama yeye, maana kama ilivyo kwa sumaku:

"Like poles repel?"
Wachana na wenyeshibe hao
 
Hii nchi ni ngumu sana. Kwamba kumbe:

"Hata wewe au miye tukiteuliwa kuwa pale bandarini tutakwiba tu na kuwa tatizo ni wenye midomo yao?"

View attachment 2725759

Mheshimiwa Supika atakuwa anawalenga nani haswa anaowaita kuwa ni wenye midomo.kumfanya kuchafukwa kiasi hiki, pasi na kuwataja majina yao.

Kulikoni hata asiwataje majina msomi nguli huyu mwenye kujinasibu vilivyo kwa u nguli wake dhidi ya wengi wengine?

Au wenye midomo hao ni manguli kama yeye au hata zaidi yake, maana kama ilivyo kwa sumaku:

"Like poles repel?"
Nasikia alikuwa Kanisani Jumapili na kusikia waraka wa TEC. Halafu tamu ya mahubiri ya Katoliki hayana mjadala!!
 
Uyu sijui anajionaje ,ogopa sana mtu kalia nafasi kubwa kwa bahati tu, uyu ni spika wa ajabu sana
 
Hii nchi ni ngumu sana. Kwamba kumbe:

"Hata wewe au miye tukiteuliwa kuwa pale bandarini tutakwiba tu na kuwa tatizo ni wenye midomo yao?"

View attachment 2725759

Mheshimiwa Supika atakuwa anawalenga nani haswa anaowaita kuwa ni wenye midomo.kumfanya kuchafukwa kiasi hiki, pasi na kuwataja majina yao.

Kulikoni hata asiwataje majina msomi nguli huyu mwenye kujinasibu vilivyo kwa u nguli wake dhidi ya wengi wengine?

Au wenye midomo hao ni manguli kama yeye au hata zaidi yake, maana kama ilivyo kwa sumaku:

"Like poles repel?"
Yaani hapa katupilia mbali baadhi ya vifungu vya katiba vinavyomtaka kila mwananchi kutoa maoni yake kwenye jambo lenye athari kwake na wengine!!
 
Wachana na wenyeshibe hao

Timu kama hii Dkt. Slaa, Prof. Shivji, Dkt. Rugemeleza Nshala, Tundu Lissu, Mwabukusi na wa namma hiyo.

Unaijabili je bIla msaada wa usaidizi wa kutosha kutokea jalalani?

Hii ukizingatia hata Paskali naye siku za karibuni kaukana unguli kabila hii? Ya kwamba japo taji JF alivuta huku yeye katu, si kwake!
 
Hii nchi ni ngumu sana. Kwamba kumbe:

"Hata wewe au miye tukiteuliwa kuwa pale bandarini tutakwiba tu na kuwa tatizo ni wenye midomo yao?"

View attachment 2725759

Mheshimiwa Supika atakuwa anawalenga nani haswa anaowaita kuwa ni wenye midomo.kumfanya kuchafukwa kiasi hiki, pasi na kuwataja majina yao.

Kulikoni hata asiwataje majina msomi nguli huyu mwenye kujinasibu vilivyo kwa u nguli wake dhidi ya wengi wengine?

Au wenye midomo hao ni manguli kama yeye au hata zaidi yake, maana kama ilivyo kwa sumaku:

"Like poles repel?"
Huyu ni mbulula kweli kweli
 
Nasikia alikuwa Kanisani Jumapili na kusikia waraka wa TEC. Halafu tamu ya mahubiri ya Katoliki hayana mjadala!!

Pembeni kwake ni Ile waraka pendwa:

Screenshot_20230820-154428~2.jpg
 
Ili kulinda heshima ya raisi; waziri Makame Mbarawa angejihudhuru uwaziri kwa maslahi ya nchi, ili raisi apate mwanya wa kuupiga chini mkataba. Kesi inakuwa imeishia hapo. Ila kuendelea kung'ang'ana na kitu ambacho kimeonekana kina mapungufu makubwa ya wazi na bado watu wamekaza shingo, haileti afya kabisa.
 
Hii nchi ni ngumu sana. Kwamba kumbe:

"Hata wewe au miye tukiteuliwa kuwa pale bandarini tutakwiba tu na kuwa tatizo ni wenye midomo yao?"

View attachment 2725759

Mheshimiwa Supika atakuwa anawalenga nani haswa anaowaita kuwa ni wenye midomo.kumfanya kuchafukwa kiasi hiki, pasi na kuwataja majina yao.

Kulikoni hata asiwataje majina msomi nguli huyu mwenye kujinasibu vilivyo kwa u nguli wake dhidi ya wengi wengine?

Au wenye midomo hao ni manguli kama yeye au hata zaidi yake, maana kama ilivyo kwa sumaku:

"Like poles repel?"
Spika anakiri hadharani kuwa Bunge limeshindwa kuisimamia serikali
 
Ili kulinda heshima ya raisi; waziri Makame Mbarawa angejihudhuru uwaziri kwa maslahi ya nchi, ili raisi apate mwanya wa kuupiga chini mkataba. Kesi inakuwa imeishia hapo. Ila kuendelea kung'ang'ana na kitu ambacho kimeonekana kina mapungufu makubwa ya wazi na bado watu wamekaza shingo, haileti afya kabisa.

Kwa silika ya mtanzania, hajiuzulu ng'o! Japo kimsingi katelefoni angekuwa nambari 1, kama CCM na kapteni Komba (rip).
 
Wawatoe wezi/watatue hizo changamoto zinachelewesha mizigo bila shaka mapato yataongezeka. Wezi/changamoto zisiwe nafsi kwao kutekeleza mkataba ambao uma wa Watnzania hawautaki.
Mungu bariki sauti za Watanzania ambao wanatetea haki.
 
Hawa watu sijui wanatumia akili za wapi, kwani meli zingine zikishusha Tanga, nyingine Mtwara na nyingine Dar hiyo foleni ya meli itakuwepo Dar?. Hapo wanasema dpw atawaajiri hao wafanyakazi waliopo sasa je ni mwekezaji gani anapenda kuajiri wezi?
 
Back
Top Bottom