Tulia na mkeo/mmeo hata kama mna matatizo

Tulia na mkeo/mmeo hata kama mna matatizo

Hujakomaa tu na kubobea kwenye dhambi.
ILa ukisha kubuhu, unakula mzigo 3some huku umefungulia mahubiri ya kilokole.

Kazana kijana, we unaonekana bado mgeni kwenye hiz sekta, ukifuzu wala hutaona ajabu
 
Pole sana.
Mungu atusamehe tu Waja wake.

Tungekuwa katika nchi zinazo hukumu kwa SHARIA (Hukumu za Mungu)

Wengi tungeshaa charazwa Mboko au/ama kuuwawa kwa kupigwa na Mawe.

"ewe Mungu tunatubu kwako" (aamina)
 
Zinaa ni dhambi mbaya sana, inatukosesha Baraka nyingi kutoka kwa Mungu. Kaa na mke/ mme wako hata kama kuna matatizo.

Uzinzi ni dhambi mbaya mno!
Suleiman na Daudi walikuwa watu wa karibu na Mungu waliyafanya hao na Mungu hakuwaadhibu, isitoshe Mungu aliumba wanawake wengi kuliko wanaume unadhani lengo ilikuwa nini? Msimtengenezee Mungu sheria
 
Suleiman na Daudi walikuwa watu wa karibu na Mungu waliyafanya hao na Mungu hakuwaadhibu, isitoshe Mungu aliumba wanawake wengi kuliko wanaume unadhani lengo ilikuwa nini? Msimtengenezee Mungu sheria
Umesoma maandiko gani hayo?

1. Mfalme Daudi kupitia zinaa na mke wa mtu, alizalisha dhambi nyingine ya uuaji. Na kupitia hayo aliadhibiwa i.e., kuondolewa kwenye kiti na mwanaye (uasi) na kukimbilia nchi ya ugeni kujihifadhi kwa muda, upanga ukaibuka kwenye nyumba yake (watoto wake wakauana). Kwa kuwa Mungu hana upendeleo na amejaa upendo kwa wote bado alimtumia nabii Nathan ili amjulishe makosa yake na atubu.

2. Mfalme Sulemani wanawake wengi walimchanganya moyo na akaanza kuabudu miungu ya kipagani. Na hii ikapelekea kugawanywa kwa miliki ya urithi kwa kizazi chake (mwanaye akarithi Yuda pekee na kabila 10 zingine zikawa chini ya Ufalme mwingine). Mwisho wa siku akaandika kila kitu "ni ubatili na kujilisha upepo."
 
...na ukiona umetoka kufanya uzinzi huku nafsi yako ina amani ujue wewe ni professional tayari.
 
...na ukiona umetoka kufanya uzinzi huku nafsi yako ina amani ujue wewe ni professional tayari.
Ndio mana namuambia kijana bado hajakua vizur mzoefu. Mshipa wa hatia ukikatika we unajitwangia tu.

Ndio maana nyimbo za dini zinaoigwa saana bar na vilabuni huku watu wakila vyombo
 
Ndio mana namuambia kijana bado hajakua vizur mzoefu. Mshipa wa hatia ukikatika we unajitwangia tu.

Ndio maana nyimbo za dini zinaoigwa saana bar na vilabuni huku watu wakila vyombo
Unatoka kufanya zinaa umepita zako dukani na kumnunulia wife zawadi kabisa🤣🤣🤣
 
Ukifanya tendo la ndoa na mke wako, ajabu ni kwamba hata ukitoka hapo unakuwa na Amani tena sana. Unaweza kuamua kufanya maombi kwa Amani kabisa

Tendo hilohilo la ndoa fanya na mtu mwingine asiekuwa mke wako, utaona kimbembe, utakosa Amani, unakosa ujasiri, huwezi hata kuomba, unahukumia moyoni balaa hata kama umefanya sirini. Unakosa kujiamini.

Zinaa ni dhambi mbaya sana, inatukosesha Baraka nyingi kutoka kwa Mungu. Kaa na mke/ mme wako hata kama kuna matatizo.

Uzinzi ni dhambi mbaya mno!

Nakubali
 
Back
Top Bottom