Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
Zinaa ni msamiati kitokea kwenye Dini, how unajiita Atheist then unasema umefanya Zinaa which is WhichHayo unayosema yatakutokea kama wewe ni mfia dini.,sisi atheist tukishafanya zinaa tunakuwa na furaha ya ajabu,hata confidence inaongezeka
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Suleiman na Daudi walikuwa watu wa karibu na Mungu waliyafanya hao na Mungu hakuwaadhibu, isitoshe Mungu aliumba wanawake wengi kuliko wanaume unadhani lengo ilikuwa nini? Msimtengenezee Mungu sheriaZinaa ni dhambi mbaya sana, inatukosesha Baraka nyingi kutoka kwa Mungu. Kaa na mke/ mme wako hata kama kuna matatizo.
Uzinzi ni dhambi mbaya mno!
[emoji1787][emoji1787]Ni kwasababu umekariri hivyo....wenzio wanazini usiku asubuh wanaingia kusali fresh tu
DHAMBI ZOTE NI MBAYA
Umesoma maandiko gani hayo?Suleiman na Daudi walikuwa watu wa karibu na Mungu waliyafanya hao na Mungu hakuwaadhibu, isitoshe Mungu aliumba wanawake wengi kuliko wanaume unadhani lengo ilikuwa nini? Msimtengenezee Mungu sheria
Ndio mana namuambia kijana bado hajakua vizur mzoefu. Mshipa wa hatia ukikatika we unajitwangia tu....na ukiona umetoka kufanya uzinzi huku nafsi yako ina amani ujue wewe ni professional tayari.
Unatoka kufanya zinaa umepita zako dukani na kumnunulia wife zawadi kabisa🤣🤣🤣Ndio mana namuambia kijana bado hajakua vizur mzoefu. Mshipa wa hatia ukikatika we unajitwangia tu.
Ndio maana nyimbo za dini zinaoigwa saana bar na vilabuni huku watu wakila vyombo
Bilaa shidaaaUnatoka kufanya zinaa umepita zako dukani na kumnunulia wife zawadi kabisa🤣🤣🤣
Ukifanya tendo la ndoa na mke wako, ajabu ni kwamba hata ukitoka hapo unakuwa na Amani tena sana. Unaweza kuamua kufanya maombi kwa Amani kabisa
Tendo hilohilo la ndoa fanya na mtu mwingine asiekuwa mke wako, utaona kimbembe, utakosa Amani, unakosa ujasiri, huwezi hata kuomba, unahukumia moyoni balaa hata kama umefanya sirini. Unakosa kujiamini.
Zinaa ni dhambi mbaya sana, inatukosesha Baraka nyingi kutoka kwa Mungu. Kaa na mke/ mme wako hata kama kuna matatizo.
Uzinzi ni dhambi mbaya mno!
😂😂😂Wewe tu bwana, mbona sisi wengine tukitoka kwa michepuko tunasikia burudani kabisa.
Utulie na mkeo sasa.