Tulia, Nape na wengineo, huko mbeleni mnaweza kushuhudia watoto na wajukuu zenu wakikosa ajira katika bandari zetu huku Waarabu wakipeana ajira

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Bila kujali Mkataba husika unasema nini kuhusu kulinda ajira za wazawa, lakini maadam tunaenda kuwakabidhi wageni watuendeshee bandari yetu, basi hilo nililolisema ipo siku mnaweza kulishuhudia kwa watoto ama wajukuu zenu au kwa watoto na wajukuu wa ndugu na jamaa zenu wakati huo nyie mkiwa ni wazee msio na sauti mlizonazo leo.
 
Wawazie wajukuu zako, unajuaje pengine wenzio wamepiga hela ndefu ya kuja kula mpaka vitukuu vyao?
 
Pesa ya wizi haijawahi mnufaisha mtu kivilee. Ndio maana Kiwete na wezi wenzake walisafa sana wakati wa JPM
 
Back
Top Bottom