Tulia: Tusipopitisha bajeti ya serikali Rais anaweza kuvunja bunge

Tulia: Tusipopitisha bajeti ya serikali Rais anaweza kuvunja bunge

Wakati wa uraisi wa Mkapa yeye binafsi aliwaambiya kwamba kasikiya wanataka kukwamisha muswada wa serikali. Akawaambiya wasisahau kuwa uchaguzi unakuja na yeye ndiye anayepitisha wagombea.
 
Hahahah...

CCM ina watu wa hovyo sana...
 
Spika dhaifu kutokana na mfumo wa katiba yetu.
Unamtunishiaje misuli mwenyekiti wa chama chako ambaye ndiyo anapitisha jina lako kwenye uchaguzi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jiwe alikuwa mpuuzi sana kutuletea mataahira wampitishe milele! Babu Tale na wapuuzi wengine! Shenzi type!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Mpitishe su msipitishe mimi inanihusu nini?

Mvuje bunge msivuje mimi hainihusu kabisaaaaa

Tufanyeni kazi viongozi wako kazini wewe piga kelele
 
Hizi ni dalili pia ya wabunge kuogopa bunge kuvunjwa, sasa mle mbona wengine mabilionea kama akina Msukuma wanaogopaje Bunge kuvunjwa.

Kwa Mataifa ya watu wanaojielewa lazima wasimamishe shillingi tu haijalishi namna gani, sasa hawa wakwetu njaa njaa.

Huku mtaani mbona sisi tunaishi na nyama tunachoma kila weekend na mizinga ya J walker tunaiangusha tu.
 
Kidhihirisha kuwa wapo hizo nafasi kwa ajili ya matumbo yao
 
kwa hili hayati Rais Magufuli alaumiwe.. what a toothless institutions.. hata kama mnaogopa serikali, grow a spine
 
Wabunge sasa huu ndiyo muda wa kuonesha uzalendo kwa kuikataa bajeti na bunge livunjwe ili tirudi kwenye uchaguzi.
 
Unajiuliza, lengo ilikuwa kuwatisha hao wana ndiyo wenzake ama?!

Unafikiri bunge letu litakuwa na uwezo wa kuisimamia Serikali kwa ulege lege huo?

View attachment 2680325
Wacha hizo. Mbona Halima Mdee alikuwa anapiga kura ya kukataa bajeti ya TARULA kuboresha barabara za Mabwepande na Kawe, maagizo ya chama? Na Mbunge Kenan wa Rukwa, na 19 kina Mdee, nao wamezuiwa kuingia bungeni kumsapoti kulia tundulissu aliyeshindwa 87%/13% kweupe mchana?
 
Aliyeiba kura akafa. Kamuacha Lissu
 
Spika dhaifu kutokana na mfumo wa katiba yetu.
Unamtunishiaje misuli mwenyekiti wa chama chako ambaye ndiyo anapitisha jina lako kwenye uchaguzi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na wewe unawekaje rehani taifa lako kwa maslahi yako binafsi, kwa mfano?
 
Huyu mama mwenye sura ta babayake aliyechoshwa na hangover za gongo ni wa hovyo sana.
 
Back
Top Bottom