Uchaguzi 2020 Tulia uliambiwa hukusikia, ukalazimisha kugombea Mbeya

Uchaguzi 2020 Tulia uliambiwa hukusikia, ukalazimisha kugombea Mbeya

Tatizo si Sugu kushinda Tatizo KUpinduliwa kwa matokeo
Wakapindue sehemu zingine kama Tanga, Tabora no siyo Mbeya. Mbeya ndiyo sehemu pekee MAGUFULI alilazimishwa kuweka vidole 2 juu ambayo ni alama ya CDM. PATACHIMBIKA
 
Nawaona mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA almaaruf kama 'Rais wa Mbeya ' Sugu' Joseph Mbilinyi na waziri Mkuu wa Mbeya mzee wa UPAKO John Mwambigija mwenyekiti wa CHADEMA jimbo la Mbeya wakipita kata hadi kata.
Ungeandika wakizunguka na watu walewale wahudhuriaji kutoka kata moja kwenda kata nyingine kufanya mikutano ya hadhara
 
Wakapindue sehemu zingine kama Tanga, Tabora no siyo Mbeya. Mbeya ndiyo sehemu pekee MAGUFULI alilazimishwa kuweka vidole 2 juu ambayo ni alama ya CDM. PATACHIMBIKA
Mbeya hawataki mkoloni Sugu kabila ingine isiyo ya Mbeya kuendelea kutawala mbeya mjini

Mkoloni Sugu safari hii lazima afungashwe virago akatawale kwao sio mbeya
 
Tulia kapiga kampeni muda wote wakati SUGU kawekwa ndani na wakati Sugu kazuiwa

Lakini wapi!
 
Huu wimbo na haya maneno yanatoka kwa wanachama wa Chadema. So hiko walichoimba hakitakiwi kua kipimo cha kukuletea conclusion.

Ni kama ukute ccm wakiimba kua hawamtaki Sugu.
 
Huu wimbo na haya maneno yanatoka kwa wanachama wa Chadema. So hiko walichoimba hakitakiwi kua kipimo cha kukuletea conclusion.

Ni kama ukute ccm wakiimba kua hawamtaki Sugu.
Labda CCM wa Dodoma ndiyo watanyima Sugu. Mbeya Sugu anapata kura nyingi kutoka kwa wana CCM wenyewe.
 
Ukisikia vurugu na uvunjifu wa amani ndio huu
Wewe kama haumtaki Tulia subiri ifike tarehe 28/10/2020 usimpe kura yako hapo ndio humtaki kwa kutumia haki yako ya kikatiba
Kuliko hiyo njia inayotumika hapo mkipigwa mabomu ya machozi na virungu mlalamike
 
Back
Top Bottom