Uchaguzi 2020 Tulia uliambiwa hukusikia, ukalazimisha kugombea Mbeya

most of the voters in Tanzania are undecided voters, subiri siku ya kura kuhesabiwa na matokeo kutangazwa hii misafara isikuyumbishe. TRUMP alishinda uchaguzi lakini mwanzoni ilikuwaje?
 
Pale utakapoona Tulia katangazwa kashinda 90% ndio utajua Meko kaamua kujimilikisha bunge [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tulia kaandaliwa fungu ili hata akishindwa kuna faulo ichezae ili aonekane ni mshindi kwa kukubarika kwa rushwa zake kupitia TULIA TRUST FUNDS
 
CCM ilifanya makosa ya wazi kulazimisha Tulia Ackson agombee Mbeya ili kumtoa Sugu. Kuna sababu 4:-

1. Siyo mzawa wa Mbeya kwa kuwa anatokea Rungwe. Hata ukisema Tanzania hakuna ukabila lakini Wasafwa ambao ndiyo wengi hawawezi kumpa kura Tulia Mnyakyusa, bora wampe Mpangwa Sugu.

2. Mfumo dume. Hata kwao Rungwe wasingempa mwanamke kutokana na mila zao.

3. Taswira ya Tulia kama Naibu Spika. Ametumika sana kuwakandamiza wapinzani kwa kuwanyima nafasi ya kuongea, kuwafukuza kwenye vikao na kupuuza hoja zao

4. Kura 100,000 za Sugu za mwaka 2015. Hawa watu waliomfanya Sugu awe the most voted MP bado wapo na Sugu hajawakwaza.

Sioni namna Tulia atapata hata 20% ya kura za Mbeya Mjini.
Hiyo number 4 ni mwiba
 
Vipi jeshi la polisi linasemaje kuhusu hali hiyo?
Hawajasema ni maandamano yasiyo na kibali?
 
Tulia kaandaliwa fungu ili hata akishindwa kuna faulo ichezae ili aonekane ni mshindi kwa kukubarika kwa rushwa zake kupitia TULIA TRUST FUNDS
Si umesikia kuwa hata wale aliowakopesha boda boda na bajaj kupitia Tulia Trust Fund wanapeperusha bendera za CDM!! Imemuuzi kaamua kuwanyang'anya
 
Tatizo si Sugu kushinda Tatizo KUpinduliwa kwa matokeo
 
Back
Top Bottom