Uchaguzi 2020 Tulia uliambiwa hukusikia, ukalazimisha kugombea Mbeya

View attachment 1569746
CCM ilifanya makosa ya wazi kulazimisha Tulia Ackson agombee Mbeya ili kumtoa Sugu. Kuna sababu 4:-

1. Siyo mzawa wa Mbeya kwa kuwa anapokea Rungwe. Hata ukisema Tanzania hakuna ukabila lakini Wasafwa ambao ndiyo wengi hawawezi kumpa kura Tulia mnyakyusa, bora wampe Mpangwa Sugu

2. Mfumo dume. Hata kwao Rungwe wasingempa mwanamke kutokana na mila zao

3. Taswira ya Tulia kama Naibu Spika. Ametumika sana kuwa kandamiza wapinzani kwa kuwanyima nafasi ya kuongea, kuwafukuza kwenye vikao na kupuuza hoja zao

4. Kura 100,000 za Sugu za mwaka 2015. Hawa watu waliomfanya Sugu awe the most voted MP bado wapo na Sugu hajawakwaza.

Sioni namna Tulia atapata hata 20% ya kura za Mbeya Mjini
Kuna uzi wangu wa "DR TULIA ACKSON ALIKWINA , japo Moderator waliuhujumu , kila kitu kimo kwenye uzi ule
 
SUGU HAWEZI SHINDA MBEYA DHIDI YA TULIA ACKSON.MARK MY WORDS. AKISHINDA SUGU NIPIGWE BAN.

View attachment 1569746
CCM ilifanya makosa ya wazi kulazimisha Tulia Ackson agombee Mbeya ili kumtoa Sugu. Kuna sababu 4:-

1. Siyo mzawa wa Mbeya kwa kuwa anapokea Rungwe. Hata ukisema Tanzania hakuna ukabila lakini Wasafwa ambao ndiyo wengi hawawezi kumpa kura Tulia mnyakyusa, bora wampe Mpangwa Sugu

2. Mfumo dume. Hata kwao Rungwe wasingempa mwanamke kutokana na mila zao

3. Taswira ya Tulia kama Naibu Spika. Ametumika sana kuwa kandamiza wapinzani kwa kuwanyima nafasi ya kuongea, kuwafukuza kwenye vikao na kupuuza hoja zao

4. Kura 100,000 za Sugu za mwaka 2015. Hawa watu waliomfanya Sugu awe the most voted MP bado wapo na Sugu hajawakwaza.

Sioni namna Tulia atapata hata 20% ya kura za Mbeya Mjini
 
View attachment 1569746
CCM ilifanya makosa ya wazi kulazimisha Tulia Ackson agombee Mbeya ili kumtoa Sugu. Kuna sababu 4:-

1. Siyo mzawa wa Mbeya kwa kuwa anapokea Rungwe. Hata ukisema Tanzania hakuna ukabila lakini Wasafwa ambao ndiyo wengi hawawezi kumpa kura Tulia mnyakyusa, bora wampe Mpangwa Sugu

2. Mfumo dume. Hata kwao Rungwe wasingempa mwanamke kutokana na mila zao

3. Taswira ya Tulia kama Naibu Spika. Ametumika sana kuwa kandamiza wapinzani kwa kuwanyima nafasi ya kuongea, kuwafukuza kwenye vikao na kupuuza hoja zao

4. Kura 100,000 za Sugu za mwaka 2015. Hawa watu waliomfanya Sugu awe the most voted MP bado wapo na Sugu hajawakwaza.

Sioni namna Tulia atapata hata 20% ya kura za Mbeya Mjini
Kwa hiyo hapo tu ndo sugu kashinda?
Bangi sio kitu kizuri
 
Hich
Hicho kipicha hakina lolote!! Wakipewa t-shirt na kapelo wanavaa. Wakipewa mikopo wanachukua, lakini miouo yao iko na Sugu tu!!
 
Amepanick soma hapo:
20200914_193624.jpg
 
View attachment 1569746
CCM ilifanya makosa ya wazi kulazimisha Tulia Ackson agombee Mbeya ili kumtoa Sugu. Kuna sababu 4:-

1. Siyo mzawa wa Mbeya kwa kuwa anapokea Rungwe. Hata ukisema Tanzania hakuna ukabila lakini Wasafwa ambao ndiyo wengi hawawezi kumpa kura Tulia mnyakyusa, bora wampe Mpangwa Sugu

2. Mfumo dume. Hata kwao Rungwe wasingempa mwanamke kutokana na mila zao

3. Taswira ya Tulia kama Naibu Spika. Ametumika sana kuwa kandamiza wapinzani kwa kuwanyima nafasi ya kuongea, kuwafukuza kwenye vikao na kupuuza hoja zao

4. Kura 100,000 za Sugu za mwaka 2015. Hawa watu waliomfanya Sugu awe the most voted MP bado wapo na Sugu hajawakwaza.

Sioni namna Tulia atapata hata 20% ya kura za Mbeya Mjini
Kabisa,nafuu ya Tulia ni Goli la Mkono
 
Subiria matokeo ya mkurugenzi wa jiji.
Mwambieni kuwa makaburu wa Afrika kusini waliijenga S.A kama ULAYA, lakini haikuwafanya "WASAUZI" wawapende makaburu kwa UKATILI wao.

Mnamo mwaka 1994 makaburu waliondolewa madarakani, kwahiyo TUDARAJA 'twake' tusimpe uhalali wa kulazimisha KUTAWALA watu kwa MKONO WA CHUMA.
 
View attachment 1569746
CCM ilifanya makosa ya wazi kulazimisha Tulia Ackson agombee Mbeya ili kumtoa Sugu. Kuna sababu 4:-

1. Siyo mzawa wa Mbeya kwa kuwa anapokea Rungwe. Hata ukisema Tanzania hakuna ukabila lakini Wasafwa ambao ndiyo wengi hawawezi kumpa kura Tulia mnyakyusa, bora wampe Mpangwa Sugu

2. Mfumo dume. Hata kwao Rungwe wasingempa mwanamke kutokana na mila zao

3. Taswira ya Tulia kama Naibu Spika. Ametumika sana kuwa kandamiza wapinzani kwa kuwanyima nafasi ya kuongea, kuwafukuza kwenye vikao na kupuuza hoja zao

4. Kura 100,000 za Sugu za mwaka 2015. Hawa watu waliomfanya Sugu awe the most voted MP bado wapo na Sugu hajawakwaza.

Sioni namna Tulia atapata hata 20% ya kura za Mbeya Mjini
Maskini Betina mtamuua kwa presha ? Kabla hata ya pambano lake na Zena .
 
View attachment 1569746
CCM ilifanya makosa ya wazi kulazimisha Tulia Ackson agombee Mbeya ili kumtoa Sugu. Kuna sababu 4:-

1. Siyo mzawa wa Mbeya kwa kuwa anapokea Rungwe. Hata ukisema Tanzania hakuna ukabila lakini Wasafwa ambao ndiyo wengi hawawezi kumpa kura Tulia mnyakyusa, bora wampe Mpangwa Sugu

2. Mfumo dume. Hata kwao Rungwe wasingempa mwanamke kutokana na mila zao

3. Taswira ya Tulia kama Naibu Spika. Ametumika sana kuwa kandamiza wapinzani kwa kuwanyima nafasi ya kuongea, kuwafukuza kwenye vikao na kupuuza hoja zao

4. Kura 100,000 za Sugu za mwaka 2015. Hawa watu waliomfanya Sugu awe the most voted MP bado wapo na Sugu hajawakwaza.

Sioni namna Tulia atapata hata 20% ya kura za Mbeya Mjini
Tulia hawezi kushinda kwa kura, ila anaweza kutangazwa kuwa mshindi kwa maelekezo toka juu
 
Nyie mbuzi mnakuaga na nguvu mkiwa nyuma ya keyboard sana
Kwa taarifa tu, kama kuna sehemu damu itamwagika kwa Serikali kulazimisha wabunge wao basi Mbeya na Tarime zitakuwa ndiyo za kwanza kwa Tanzania bara.

Watu wa Mbeya hawatakubali kamwe Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Mbeya Mjini apindue matokeo. Damu itamwagika, ni damu ya nani mimi sijui. Kimsingi Mbeya tunajitambua hatutaki dharau
 
View attachment 1569746
CCM ilifanya makosa ya wazi kulazimisha Tulia Ackson agombee Mbeya ili kumtoa Sugu. Kuna sababu 4:-

1. Siyo mzawa wa Mbeya kwa kuwa anapokea Rungwe. Hata ukisema Tanzania hakuna ukabila lakini Wasafwa ambao ndiyo wengi hawawezi kumpa kura Tulia mnyakyusa, bora wampe Mpangwa Sugu

2. Mfumo dume. Hata kwao Rungwe wasingempa mwanamke kutokana na mila zao

3. Taswira ya Tulia kama Naibu Spika. Ametumika sana kuwa kandamiza wapinzani kwa kuwanyima nafasi ya kuongea, kuwafukuza kwenye vikao na kupuuza hoja zao

4. Kura 100,000 za Sugu za mwaka 2015. Hawa watu waliomfanya Sugu awe the most voted MP bado wapo na Sugu hajawakwaza.

Sioni namna Tulia atapata hata 20% ya kura za Mbeya Mjini
Let them reap what they saw
 
Back
Top Bottom