Uchaguzi 2020 Tulia uliambiwa hukusikia, ukalazimisha kugombea Mbeya

Ndani ya hii miaka hii CCM wamedanganyana mno...!! Sasa wacha wakipate!! Si wa kuonea huruma hawa...unanunua madiwani/ wabunge unasema umekiua chama cha siasa shindani...!! Hii theory ya wapi na ilishawahi kufanya kazi wapi duniani?

Chama cha siasa ni mali cha wanachama. Sasa nyie CCM wenye CDM mmeshajua!! siku nyingine msirudie tena.
 
Ndani ya hii miaka hii CCM wamedanganyana mno...!! Sasa wacha wakipate!! Si wa kuonea huruma hawa...unanunua madiwani/ wabunge unasema umekiua chama cha siasa shindani...!! Hii theory ya wapi na ilishawahi kufanya kazi wapi duniani?

Chama cha siasa ni mali cha wanachama. Sasa wenye chama CCM mmeshajua!!
Endelea kujifariji tu!!
 
Kwa taarifa tu, kama kuna sehemu damu itamwagika kwa Serikali kulazimisha wabunge wao basi Mbeya na Tarime zitakuwa ndiyo za kwanza kwa Tanzania bara.

Watu wa Mbeya hawatakubali kamwe Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Mbeya Mjini apindue matokeo. Damu itamwagika, ni damu ya nani mimi sijui. Kimsingi Mbeya tunajitambua hatutaki dharau
Huyo mkurugenzi akipindua matokeo basi ahakikishe kaondoka dakika hiyo hiyo la sivyo ataenda kumsalimia Kandoro!

Mbeya hatupo tayari kucheka na makima
 
Ubabe wa chama tawala umelazimisha Tulia agombee dhidi ya Sugu ila sio kila siku ni Ijumaa na Mungu sio Athumani.
 
View attachment 1569746
CCM ilifanya makosa ya wazi kulazimisha Tulia Ackson agombee Mbeya ili kumtoa Sugu. Kuna sababu 4:-
1. Siyo mzawa wa Mbeya kwa kuwa anapokea Rungwe. Hata ukisema Tanzania hakuna ukabila lakini Wasafwa ambao ndiyo wengi hawawezi kumpa kura Tulia mnyakyusa, bora wampe Mpangwa Sugu

2. Mfumo dume. Hata kwao Rungwe wasingempa mwanamke kutokana na mila zao

3. Taswira ya Tulia kama Naibu Spika. Ametumika sana kuwa kandamiza wapinzani kwa kuwanyima nafasi ya kuongea, kuwafukuza kwenye vikao na kupuuza hoja zao

4. Kura 100,000 za Sugu za mwaka 2015. Hawa watu waliomfanya Sugu awe the most voted MP bado wapo na Sugu hajawakwaza.

Sioni namna Tulia atapata hata 20% ya kura za Mbeya Mjini
 
Hizo sababu ni za kipuuzi kabisa,sugu atapigwa mapema sana mtashangaa
 
Kushinda hata shinda lakini tume itamtangaza, mwanamke ana roho mbaya kama sura yake
 
Back
Top Bottom