GE2020 Tulia uliambiwa hukusikia, ukalazimisha kugombea Mbeya

GE2020 Tulia uliambiwa hukusikia, ukalazimisha kugombea Mbeya

Wakurugenzi kazi wanayo safari hii .... maana huku uchakachue za mzee halafu tena huku wanategemea na za Tulia uchakachue. CCM inabidi wachague moja safari hii ....!!
Mambo ya kulazimisha ubunge kwa kuiba kura wakati huna uwezo wa kiuongozi. Haya huyo naye kamwagwa
 
Back
Top Bottom