Hii nchi imejaa maigizo tupuKule wilaya ya Chamwino,Jimbo la Mvumi Kata zifuatazo hazina vituo vya Afya:-
Igandu, Nghahelezi, Idifu, Mvumi Misheni, Mvumi Makulu, Makang'wa, Fufu, Loje na Nhinhi
Kata zenye Vituo vya Afya katika Jimbo Hilo ni Handali, Mpwayungu na Mlowa, basi!
Jamaa wanashindana kununua V8 za milioni 600 mojaUPIGAJI TU
Mara tuambie Madarasa yanajengwa kwa Pesa za UVIKO mara tuambie yanajengwa kwa TOZO ili Mradi Vurugu Mechi hii ndio TANZANIA
Sasa kwa nini awali kipindi cha Magufuli tulikuwa tunaambiwa kila kata kumejengwa kituo cha afya na walikuwa wasema mara nyingi mno...Kule wilaya ya Chamwino,Jimbo la Mvumi Kata zifuatazo hazina vituo vya Afya:-
Igandu, Nghahelezi, Idifu, Mvumi Misheni, Mvumi Makulu, Makang'wa, Fufu, Loje na Nhinhi
Kata zenye Vituo vya Afya katika Jimbo Hilo ni Handali, Mpwayungu na Mlowa, basi!
Ndio nawe sasa ujiulize km tuna viongozi au tuna watu wasiojielewa...!zipo nyingi tu.! alafu ni kupe siri moja kipindi covid imeingia na kutuambia magufuli kafukuza covid kwa maombi ni kwamba kama ingekamata sana basi wizara ya afya ilikuwa inavuliwa nguo tungejua mapungufu ya nchi kuwa huduma ya afya ni mbovu na vifaa kama oxygen machine unaweza kuta tanzania zipo 100 tu
Kila kata ina vituo double sasa. Kituo JPM na kituo SSH. Tozo hoyee!Maana inashangaza, pale tulipoambiwa vituo vimejengwa kila kata na mwaziri na wabunge hawa hawa.
Sasa tena mawaziri na wabunge hawa hawa wanasema vituo vya afya vinajengwa kila kata, ina maana vile vya awali vimebomoka ama?
Hebu watuambie wanajenga nini (kama wanafanya ukarabati, wanaongeza majengo labda yale ya awali hayatoshi, ila sio kusema wanajenga vituo vipya wakat tayari wameshatuambia kila kata inakituo cha afya.
Hili la kwako Tisa, kumi je kweli tunataka vituo kila kata??? au watu wanataka huduma bora na sio majengo. Yaani hawa wanasiasa wa sasa hivi walichojifunza kutoka kwa mkoloni ni sheria kandamizi tu.Maana inashangaza, pale tulipoambiwa vituo vimejengwa kila kata na mwaziri na wabunge hawa hawa.
Sasa tena mawaziri na wabunge hawa hawa wanasema vituo vya afya vinajengwa kila kata, ina maana vile vya awali vimebomoka ama?
Hebu watuambie wanajenga nini (kama wanafanya ukarabati, wanaongeza majengo labda yale ya awali hayatoshi, ila sio kusema wanajenga vituo vipya wakat tayari wameshatuambia kila kata inakituo cha afya.
Za kuambiwa changanya na zako Mbayuwayu.pale tulipoambiwa
CCM hawakuanza leo na ujenzi wa kituo cha afya kila kata. Kauli mbiu hii ni ya CCM toka enzi na enzi kwani waligundua siku nyingi kuwa ni mradi wa mkakati. Hebu shuhudia hapa...Maana inashangaza, pale tulipoambiwa vituo vimejengwa kila kata na mwaziri na wabunge hawa hawa.
Sasa tena mawaziri na wabunge hawa hawa wanasema vituo vya afya vinajengwa kila kata, ina maana vile vya awali vimebomoka ama?
Hebu watuambie wanajenga nini (kama wanafanya ukarabati, wanaongeza majengo labda yale ya awali hayatoshi, ila sio kusema wanajenga vituo vipya wakat tayari wameshatuambia kila kata inakituo cha afya.
Inaijua VIEITE wewe ?Maana inashangaza, pale tulipoambiwa vituo vimejengwa kila kata na mwaziri na wabunge hawa hawa.
Sasa tena mawaziri na wabunge hawa hawa wanasema vituo vya afya vinajengwa kila kata, ina maana vile vya awali vimebomoka ama?
Hebu watuambie wanajenga nini (kama wanafanya ukarabati, wanaongeza majengo labda yale ya awali hayatoshi, ila sio kusema wanajenga vituo vipya wakat tayari wameshatuambia kila kata inakituo cha afya.
Hiyo ndio ccm bhana !!CCM hawakuanza leo na ujenzi wa kituo cha afya kila kata. Kauli mbiu hii ni ya CCM toka enzi na enzi kwani waligundua siku nyingi kuwa ni mradi wa mkakati. Hebu shuhudia hapa...
View attachment 2343183
13/10/2014
View attachment 2343166
15/11/2016
View attachment 2343178
Kwa sasa ni wimbo wa CCM kila awamu toka ya Jakaya Kikwete kabla ya tozo!
Halafu jana tu...
View attachment 2343172
Ni kweli walijenga Kila kata,na sasa hivi wanajenga juu yake ya yake majengo ya awali ili zibebane ziwe mbili mbili Kama gholofa.Maana inashangaza, pale tulipoambiwa vituo vimejengwa kila kata na mwaziri na wabunge hawa hawa.