Tuliambiwa Magufuli kajenga vituo vya afya kila kata, hivi tunavyoambiwa vinajengwa sasa ni vipi?

Kule wilaya ya Chamwino,Jimbo la Mvumi Kata zifuatazo hazina vituo vya Afya:-
Igandu, Nghahelezi, Idifu, Mvumi Misheni, Mvumi Makulu, Makang'wa, Fufu, Loje na Nhinhi

Kata zenye Vituo vya Afya katika Jimbo Hilo ni Handali, Mpwayungu na Mlowa, basi!
mpwayungu village kimebatika kuwa na kituo cha afya Wilaya nzima ya Chamwino.
 
Mkuu,


Ngonjera unazozisikia ni aina fulani ya utapeli (political blackmailing and deception to legitimize them clinging in power)
 
Uliambiwa na nani? Vituo vya afya 400 ndio Kila kata?
 
Hizi tozo ni maalum kwa ajili ya kununua vieitee za kutosha.

“Unaijua vieitee wewe” in Chakubanga’s voice
 
Sasa hivi tunataka kujenga kituo kimoja mtu mmoja
 
Ogopa sana hizi:
1. Niliambiwa
2. Nilijulishwa
3. Nilisimuliwa
4. Nilitangaziwa

Na hasa kama Serikali inahusika!
 
Wakibanwa utasikia vituo vya afya,madarasa na vyoo.

Wameshakariri majibu aisee.
 
Vitu vingine ni observation tu mfano kata ninayoishi Mimi kituo Cha afya kikubwa kimejengwa Wakati wa Magu ,palikuwa na zahanati tu .Je wewe unapoishi umeona kituo Cha afya ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…