Tuliambiwa mchina anaenda kumpiku Marcedes Benz

GUSA ACHIA BAHASHA GOLI

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2023
Posts
5,110
Reaction score
7,349
Nimeikuta facebook baada ya jamaa kununua gari la kichina kwa wakala huko sauzi
Hakuchukua muda mrefu
Chuma inayoshikilia tairi limekatika
 

Attachments

  • 1715023645149.jpg
    307.9 KB · Views: 10
  • 1715023648376.jpg
    548.1 KB · Views: 12
  • 1715023651266.jpg
    304.4 KB · Views: 9
  • 1715023654275.jpg
    472.5 KB · Views: 9
  • 1715023657531.jpg
    503.6 KB · Views: 12
Benz ni fahari ya mjerumani yaani kama wimbo wao wa Taifa
Wengi wametaka kununua ila mjerumani kagoma kuiuza
Mhindi kanunua Range ila sio Benz
Mchina baiskeli za umeme zinalipuka kila leo, ila uzuri magari yao hakuna ulaya yote (masahihisho)
Africa tutanunua kwa kitonga chake tu
 
mleta mada una kaushamba ka magari kwanza hatujui chanzo cha tatizo pili hata hizo benzi zinakatika matairi au kufumuka boneti zikiwa zimepaki ila kwakua upo kutetea upande fulani basi hatukupingi ila vyuma kuharibika ni kawaida sana labda kama hujawahi miliki au una kaushamba fulani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…