Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,391
- 3,849
Lol nchi ngumu hiiWaziri wa Fedha awe mkweli maana kama kajisahau vile anaendelea kutoa hotuba, alituambia fedha za tozo zitahusika kwenye Ujenzi wa madarasa na huduma za afya, leo hii fedha walizopewa na IMF anataja miradi ile ile kwamba ndio itakayo tekelezwa, huenda labda mm sijaelewa vizuri pamoja na kuwa nina experience ya ufadhili wa miradi kwamba mnaweza mkawapa wafadhili 3 ripoti ya mradi 1 ila kila mtu akawa alitoa peza za mradi huo huo.
Huenda sijaelewa kwamba fedha za tozo zitafanya kazi gani vile na hizi za IMF zitafanya kazi ipi vile.
Wakumbuke Wastaafu HAWAJALIPWA MAFAO yao sasa ni miezi 12 na zaidi kwa wengine.
Wanasiasa bhana sijui huwa wanatuchukuliaje sisi raia...mambo yao huwa hawanyooshi alafu wanajisahaulisha kama hawakuongea wao..Ilikuwa ni mwanzoni mwa mwaka huu, serikali ilisema ilipokea mkopo kutoka benki ya dunia kwa ajili ya kujenga shule mpya 1000 nchi nzima.
Je, huko ulipo zimejengwa shule mpya ngapi?
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
mwana siasa si wa kuamini maneno yake, anaongea macho makavu na hapepesi. hakuna mwana siasa mkweli. uliambiwa tozo ni kwa nia njema (maneno toka kinywani mwa mh rais), leo mawaziri 8 wanazunguka na helicopter nchi nzima wakitatua kero za ardhi (walipa tozo?).Waziri wa Fedha awe mkweli maana kama kajisahau vile anaendelea kutoa hotuba, alituambia fedha za tozo zitahusika kwenye Ujenzi wa madarasa na huduma za afya, leo hii fedha walizopewa na IMF anataja miradi ile ile kwamba ndio itakayo tekelezwa, huenda labda mm sijaelewa vizuri pamoja na kuwa nina experience ya ufadhili wa miradi kwamba mnaweza mkawapa wafadhili 3 ripoti ya mradi 1 ila kila mtu akawa alitoa peza za mradi huo huo.
Huenda sijaelewa kwamba fedha za tozo zitafanya kazi gani vile na hizi za IMF zitafanya kazi ipi vile.
Wakumbuke Wastaafu HAWAJALIPWA MAFAO yao sasa ni miezi 12 na zaidi kwa wengine.
Hizi fedha sidhanimkama zimefika bot/hazina!!! Kuna kiswahili kingi sana kinapigwa juu ya fedha hizi za elimu!Kunafedah za world bank zaodi ya trillion 1 zinakwenda kubolesha elimu..sasa mbona hatumabiwi tofauti ya hizi fedha..Naona kunaupiganji sana
Zile trilion moja walisema watajenga shule mpya elfu moja nchi nzima. Huku napoishi sijaona hata shule mpya moja, hata msingi tu, sijui huko!Kunafedah za world bank zaodi ya trillion 1 zinakwenda kubolesha elimu..sasa mbona hatumabiwi tofauti ya hizi fedha..Naona kunaupiganji sana
Miamala Inaingia Kwenye Mfuko UliotobokaCCM ni ile ile!
Kumbe ule wimbo walioimba Vijana Jazz Ogopa Tapeli ulikuwa unawalenga CCM. Pole sana bwana Mangushi!!!Ogopa sana matapeli (CCM).
Mama alipewa dola milioni 450 ambazo ni zaidi ya Trilion moja kufidia hasara/athari ya Corona, Muulize ziko wapi. Hiyo ilikuwa mwezi wa 5 mwaka huu.
Wewe ndio utazipeleka hizo pesa kulipa hiyo mikopo? Au umejiskia kutema shudu tu?pesa zote za IMF ni mkopo hivyo basi tozo zinatumika kulipa huo mkopo,na mikopo mingine iliyokuepo