Tulianza na milo mitatu, tukaja miwili na sasa mlo mmoja. Nimeitisha kikao cha dharura

Tangu uishi nao hadi leo umekaa.. yeye ndio akutafutie kazi na akili yako haijiongezi.. Pole kwako.. mitandao haikufahi kabisa.. ni vizuri akusome humu akutimue kabisa..

Kama yeye mwenye connection ameshindwa kupata kazi aliyoniahidi Mimi ndio nitapata?
Nimehangaika Sana.

Na ole wako anitimue, nitakuja kwako.
Ninyi mkishapata kazi mnatabia ya kuwaona wengine wazembe
 
CCM imeshindwa kuboresha maisha ya watu wake. Hiki ni chama mfu, kimekosa ubunifu.

Wachumi wake kanjanja wamo bungeni kusema yah yah yah yah yah yah trab trat utumbavu getteh.

Tunahitaji serikali ijitafakari ikubali katiba mpya ya Warioba irasimishwe. Pili twende kwenye serikali ya mseto, na covid 19 watolewe bungeni, wapelekwe mahakamani hadi warudishe mishahara na posho your waliyochukua kwa miaka sita
 
Hatar
 
Nchi inaardhi kubwa yenye rutuba, Moto, maziwa na mabwawa lakini ati chakula ni Ghali. Ajabu Sana hii
 
Ukiingia porini uanze kilimo, watakuja watu wa CCM, wanajiita wenyeviti wa kijiji na watendaji wa kijiji watakusakama kwamba umevamia uoto wa asili, hii mijitu mipumbavu kabisa

๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Kama utabahatika kuruka kigingi hiko, ukijaaliwa ukalima ukapata mazao unakavuna, utakutana na Vyama za ushirika Kama sio bei ya hovyo
 
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Kama utabahatika kuruka kigingi hiko, ukijaaliwa ukalima ukapata mazao unakavuna, utakutana na Vyama za ushirika Kama sio bei ya hovyo
Tozo, ushuru wa mazao, vizuizi vipi kila kijiji, na inatakiwa uulipie huo mzigo. Hadi unafika sokoni umeshaishiwa kabisa, na unapokelewa na madalali wenye kiu na njaa.
Wao wanapata kikubwa, wewe kiduchu
 
Nchi inaardhi kubwa yenye rutuba, Moto, maziwa na mabwawa lakini ati chakula ni Ghali. Ajabu Sana hii
Ngano na mafuta ya kura tunategemea Urusi na Ukraine.

Mpaka Sasa hakuna effort zozote za maana kuzalisha ngano yetu wenyewe ya kutosha na kujitosheleza na uzalishaji wa mafuta ya kura.
 
Mimi nipo kwa shemeji huku dar halo ya mwaka jana na mwaka huu hali tofauti siamini kwa jinsi shemeji anvyopenda wali uliokolea nazi na mboga nzuri ilikuwa kwa wiki lakima kitu kitolewe hata mara tano sasa nipo hapa mwezi umeisha nimekula wali siku mbili tena kwa papatupapatu na mchicha .

Ugali na mboga za majani imekuwa kama ada natauta sasa hivi hata harufu ya wali tu nakutafuta kwa tochi .

#MamaAnafunguaNchi
 
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

Wadau humu wakali watakuambia Hama ukajitegemee
 
Ngano na mafuta ya kura tunategemea Urusi na Ukraine.

Mpaka Sasa hakuna effort zozote za maana kuzalisha ngano yetu wenyewe ya kutosha na kujitosheleza na uzalishaji wa mafuta ya kura.

Unaambiwa nchi ikiongozwa na Mgeni, basi jua mwenyeji lazima awe mtumwa.
Hiyo ndio maana ya Uhuru wa bendera
 
Tozo, ushuru wa mazao, vizuizi vipi kila kijiji, na inatakiwa uulipie huo mzigo. Hadi unafika sokoni umeshaishiwa kabisa, na unapokelewa na madalali wenye kiu na njaa.
Wao wanapata kikubwa, wewe kiduchu

Alafu wanaopata kikubwa wao kazi Yao ilikuwa Kupiga domo, wewe Mkulima uliyesulubika unabaki huna kitu
 
Tatizo la watanzania tunachagua na kubagua vyakula.

Msos huko tu kwa wingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ