Tulianza na milo mitatu, tukaja miwili na sasa mlo mmoja. Nimeitisha kikao cha dharura

Mimi nimekuja na family economic recovery programm( FERP) nimeanza kwa kupanda mboga kwenye viroba ,benki ya dagaa, sembe na maharage nikipata mshahara au deal zangu .Beer nakunywa zenye chapa simba tu.Nampango wa kuanzisha miradi ya kinabii tu yaani kilimo na mifugo .Vinginevyo mimi na familia yangu tutaungana na mleta uzi .Kwenda na lakaa moja kwa siku.Wasaaalamu.
 
Lazima uchakae wanaume mungu anatuona
 

Hapo kwenye Rakaa moja hapo ndio mziki Ulipo.
Ndani ya wiki tuu utadondosha kilo tanoπŸ˜€πŸ˜€
 
Reactions: EEX
Mjinga sana 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Synonyms za kuhenyeka ni Kama ifuatavyo;
Kumenyeka,
Kuchapika,
Kuonja joto la jiwe.
Kusulubika
Kupigika
Kusagiga.

Ambayo yote yawe katika muktadha unaorejelea "kupata shida iliyopitiliza"
Ahsante Sana kwa kunitia ufahamu mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…