Tulianza na milo mitatu, tukaja miwili na sasa mlo mmoja. Nimeitisha kikao cha dharura

Hahaha hahaha haaaaaaa haaaaaaaaaaa.........
 
Aibu na ajabu sana yaani mpaka unashangaa eti mpaka ngano itoke mbali huko wakati mpango mkakati ukiwekwa tunapata hapa hapa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba uwe una-samaraizi!!
 
Mimi ninapenda uandishi wako. Nimecheka sana. Naomba link ya hiyo issue ya kumpeleka shemeji mahakamani.
 
Maisha ni magumu ndio lakini si mliyataka wenyewe kwa kukumbatia viongozi Miungu ambao hawana jema na maisha yenu badala yake wanahangaikia matumbo yao na familia zao? hiyo inaitwa kula jeuri yako ama kula ujinga wako, watanzania ni kama makenge wengi wetu hata damu zikitoka puani hatuoni kama tunaumia sijui nani katuroga
 


Daah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…