Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

Ngoja tusibili show ya teacher

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
... sasa nilipopanda kitandani ndipo kumuangalia Ema miguuni nikakuta bado anatope la shambani!

Hii ya kuamka tope nimewahi kushuhudia wakati nasoma Karagwe Secondary, kuna jamaa nilikuwa nalala jirani naye bweni moja linaitwa Rumanyika, ile kaamka asubuhi kwanza kwa kukurupuka, miguu imejaa tope sana, mashuka yamechafuka halafu akiwa mchovu. Jamaa alichomoka spidi akaruka fensi akatokomea porini. Hakuwahi kurudi tena shuleni hapo mpaka namaliza.

Nilikuja kusikia alikuwa akifanyiwa hivyo na nduguze wa karibu mara kwa mara.
 
Ngoma unogile,masharti ya dawa usiguse maji wala kuoga,Headmaster katoa adhabu ya kujaza pipa maji,hapa lazima uligusa maji,nahisi dawa itaharibika,ngoma bado nzito naamini
Aise baba mdogo kayakanyaga kumpa adhabu ya kujaza pipa, Monica aje ampige na kitu kizito
 

πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… jamaa alitokomea kihanga, hivi rumanyika ndiyo bweni lile kama hall, wameweka vitanda? Afu kwa pembeni kushoto kuna vibweni vingine vidogo vidogo?

Jina lake mashuhuri nimelisahau hilo bweni ila nimejifunzia volleyball pale.
 
Ulikula tunda kimasihala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…