Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

Niliwahi kushuhudia miaka ya nyuma Geita huko vijijini kuna mwanamke alipambana na majambazi wenye silaha na yakatelekeza bunduki
 
Daah stori tamu sana, ila hapo kwa Monika bado sijaamini km umeachana nae kirahiv hivyo wakati ni wachawi wa kiwango cha SGR
 
Weka no ya simu sasa tukutafute
 
Kuna mdingi home alikuwa anakula embe dodo 60, Tena sio mashindano. Anaokota anakaa chini anayalaka Kisha anaendelea na shughuli zake.
Wanaobisha sio wote wamezaliwa mijini Ila baadhi yao wamezaliwa huko huko vijijini Ila wakifika chuo wanajifanya Kama wamezaliwa ulaya
 
Thanx mkuu kwa kunijibu kwa ufasaha
 
mwaka 2003 wilaya ya kasulu mkoani kigoma kiingilio cha mpira kwa mechi za ulaya ilikuwa shilingi 100 za kitanzania
 
Alfu Kama utataka pikpiki used nzuri njoo keko matunda pale sheli zinauzwa pikipiki nzuri San kwa Bei POA kbsa kwa milion 1 utapata chombo Safi tvs au boxer nzuri [emoji16]
 
Kuna maneno yamenifurahisha sana humu.....
1. Kilimo kisicho kuwa na tija (wanao limishwa night/kilimo cha usiku)
2. Kama sio kupendwa na monica huenda na mleta uzi angekuwa kwenye uhenyeshwaji kunako mashamba sijui ya ulezi sijui ya nn usiku🤣
Et.al

Ili kwa kuadhibiwa assemble asee ilibidi monica amning'inize head master a.k.a bamdogo kichwa chiini miguu juu kama mr Ema kwenye kenchi🤣 plus na njiti juuu

Ila ule ukimba sio poa....yani mtu kaushusha kwenye meza.....sio poa kabisa🤣🤣🙌🙌

Mi hao wachaw wa kulimisha watu nawapenda sana siku waingie kwenye 18 zangu wataona........nitawalimisha hadi mashamba ya nchi jirani
 
Wabeja sana.

#MaendeleoHayanaChama
 
Bro why imeisha mapema hii ilitakiwa kua isifingo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…