Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo hapa Ziba mkuu , siku ukipita karibu sana
Ukute wewe ni ndugu yangu😅Ujue nimesoma Mkinga Primary
Haiwezi kutokea. Kule nilisoma tu primary kwetu kwingine kabisa. Nilikua napasikia tu Ziba, sijui Nsimbo kulikua na sekondari ya Umoja, nilikua napita njia ya Igunga kwenda Nkinga bila kupitia njia ya Nzega.Ukute wewe ni ndugu yangu😅
Unapajua Ziba?Nipo hapa Ziba mkuu , siku ukipita karibu sana
Umenikumbusha kuhusu Nkinga nimekaa hapo mwaka 1..Nkinga Referral hospital...Moja ya Maeneo niliyafurahia Sana..Haiwezi kutokea. Kule nilisoma tu primary kwetu kwingine kabisa. Nilikua napasikia tu Ziba, sijui Nsimbo kulikua na sekondari ya Umoja, nilikua napita njia ya Igunga kwenda Nkinga bila kupitia njia ya Nzega.
Kuishi maeneo ya wamissionari kulinipa exposure muhimu sana na kumejenga msingi wa mambo mengi yaliyonifanya niwe hivi nilivyo Leo.
Tokea niondoke 96 baada ya kumaliza elimu ya msingi, sijawahi kurudi Tena. Natamani sana siku Moja nipite kutembea hayo maeneo.
Ntafanya maarifa na Evelyn Salt tuje kufanya ziara, nna project nae sema inasua sua
Yes..ni kwetuUnapajua Ziba?
Jamani Bado
Watu hawako makini kabisa toka lini Mwise akawa MonieMkuu Panzi Mbishi hebu uwe unasoma kwa makini,niliye eleza anasura mbovu lakini umbo lilimbeba ni Mwise.
😂😂😂 apite shortcut ya miembeni tunachoka jamaniKaenda malamboni kuteka maji☺️
Oooh. Basi sawa. Wasalimie watu wa zibaYes..ni kwetu
Isije ikawa kapigwa na mama yake mdogo kwa kosa la kumsaidia kumpaka makeupKaenda malamboni kuteka maji☺️
Zimefika rafikiOooh. Basi sawa. Wasalimie watu wa ziba