Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

Ukute wewe ni ndugu yangu😅
Haiwezi kutokea. Kule nilisoma tu primary kwetu kwingine kabisa. Nilikua napasikia tu Ziba, sijui Nsimbo kulikua na sekondari ya Umoja, nilikua napita njia ya Igunga kwenda Nkinga bila kupitia njia ya Nzega.

Kuishi maeneo ya wamissionari kulinipa exposure muhimu sana na kumejenga msingi wa mambo mengi yaliyonifanya niwe hivi nilivyo Leo.

Tokea niondoke 96 baada ya kumaliza elimu ya msingi, sijawahi kurudi Tena. Natamani sana siku Moja nipite kutembea hayo maeneo.

Ntafanya maarifa na Evelyn Salt tuje kufanya ziara, nna project nae sema inasua sua
 
Umenikumbusha kuhusu Nkinga nimekaa hapo mwaka 1..Nkinga Referral hospital...Moja ya Maeneo niliyafurahia Sana..
 
Back
Top Bottom