Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

Taarifa story hii hapa ndo mwisho mwendelezo utapatikana wasap kwa kulipia kipande sh 100 kwa wanaohitaji nawatumia no ya kulipia
 
Ndugu zangu nisameheni sana leo nilikuwa kwenye matatizo ya kifamilia.

Nilienda huku bunju ambako nafanyia shughuli zangu kama kawaida,sasa nikiwa huko nikapigiwa simu na mke wa brother kwamba kuna mgogoro wa kifamilia,sasa nimefika pale nikakuta kuna kashikashi la kufa mtu lilipolekea mimi na brother kutwangana makonde hasa!.

Sasa kwa hasira nilizokuwa nazo nimejikuta hata kuendesha pikipiki kwa umakini nashindwa ikapelekea kupata ajali,ingawa sijaumia sana ila nimepata vimichubuko vya hapa na pale ila pikipiki imeumia!.

Hivyo mniwie radhi ndugu zangu leo imekuwa siku mbaya sana kwangu!.
Jaman! Pole kk
 
Back
Top Bottom