Huyu ni panya - mtu.
Huyu ni panya - mtu.
Huyu ni Mwamba.Huyu ni panya - mtu.
Vita haijaisha hiyo. Imepumzika tu.
Subutu Iran kamfunga mdoma, dogo alikuwa na mdomo kama bata maji 😂Echolimai njoo uku utupe neno!!!!!
Iran sio gazaBahati yenu mmesimamisha vita, tungewamaliza kweli.
Lakini kama Netanyahu ataendelea kuwa PM..Ila kwa upepo wa kisiasa unavyomwendea ndani ni kwamba amekalia kuti kavu.Vita haijaisha hiyo. Imepumzika tu.
Mission ya Israel ilikuwa ni kuvuruga mpango wa urutubishaji na utengenezaji wa nuclear, amefanikiwa.
Ukweli ni kuwa hakutegemea kukutana na upinzani aliokutana nao, na amekubali yaishe lakini mpango wake umekamilika.
America amemtikisa iran akiamini ataogopa, kamkuta anajiamini kuliko alivyotegemea kwa kumrudishia majibu kwenye kambi zake.
Mission iliopo.
1. Itachukua muda wa mwaka hadi miaka miwili, muisrael ataisoma technologies ya ballistic na jinsi ya kuzuia. Atamrudia tena.
2. Muirani atagombanishwa na kinchi cha kifala na dhaifu kijeshi, Back up ya muisrael na America itakuwa nyuma yake kutimiza anayoyataka ikiwa ni pamoja kupindua utawala uliopo.
After two years hiyo vita Inarudi upya lwa kasi zaidi.
😀😀😀😀😀😀😀Iran sio gaza
Wakati huo Iran amelala,Vita haijaisha hiyo. Imepumzika tu.
Mission ya Israel ilikuwa ni kuvuruga mpango wa urutubishaji na utengenezaji wa nuclear, amefanikiwa.
Ukweli ni kuwa hakutegemea kukutana na upinzani aliokutana nao, na amekubali yaishe lakini mpango wake umekamilika.
America amemtikisa iran akiamini ataogopa, kamkuta anajiamini kuliko alivyotegemea kwa kumrudishia majibu kwenye kambi zake.
Mission iliopo.
1. Itachukua muda wa mwaka hadi miaka miwili, muisrael ataisoma technologies ya ballistic na jinsi ya kuzuia. Atamrudia tena.
2. Muirani atagombanishwa na kinchi cha kifala na dhaifu kijeshi, Back up ya muisrael na America itakuwa nyuma yake kutimiza anayoyataka ikiwa ni pamoja kupindua utawala uliopo.
After two years hiyo vita Inarudi upya lwa kasi zaidi.
Wakati huo iran atakua anafanya nini?au mwenye uwezo wakusoma mipango na tech ya mwenzake ni Israel tu?Vita haijaisha hiyo. Imepumzika tu.