Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,253
- 15,070
View: https://youtube.com/shorts/zNFE1zjdxdM?si=Totiz1tkhS5hrQeA
Hivi Shetanyahu anaweza kumbusu mtoto mwenye ngozi nyeusi hivyo subutu
Ila wahindi ni wanafiki sana israel anawatumia vibaya sanaWakati huo Iran amelala,
Kiasi kikubwa Iran ilijitegemea mwenyewe kwenye ulinzi wa anga na usalama wa kimtandao, japo baadae inaonyesha alipata back up ya china kwenye ulinzi wa kimtandao, unadhani atalala bila kuufanyia kazi udhaifu wake?
Pia kuna makombora ametest kwenye hizi vurugu, na kajiridhisha hayafanyi kazi ipasavyo, je atalala asifanye maboresho ya makombora yake... Hasa kwenye ishu ya target?
Kaona udhaifu wake mkubwa kwenye usalama wa nchi kwa kuwepo mapandikizi wengi, kiasi cha kuamua kukagua kila raia wa india anayeingia na kutoka Iran, unadhani ataendelea kubweteka na kuchezea usalama wa nchi yake?
Hizi vurugu ni funzo kubwa kwa Iran kuliko Israel, ikirudiwa hata kesho, nakuhakikishia wana wa Israel watarudi kwenye nchi zao za asili
Wanaunga mkono wakiwa kwenye bankers, unga mkono halafu toka kwenye mashimo wala wasikimbilie airport kuacha nchi yao kama ilivyokuwa kwenye zile siku 12Nimesoma habari hiyo BBC lakini bado raia wanaunga mkono vita dhidi ya Iran
Mungu hapendi Ugomvi love vita sio poaaa