Tulienda kupiga ramli kwa mganga hatari kuliko wote Afrika kujua who was behind our problems

Tulienda kupiga ramli kwa mganga hatari kuliko wote Afrika kujua who was behind our problems

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Mganga alitu peleka kwenye chumba maalumu na kwenye chumba hicho kulikuwa na kinyago mfano wa mtu limefunikwa kitambaa chekundu kama jezi ya Simba kisha akatuambia kila mmoja afunue kitambaa hicho na atamuona mtu anae mroga na kumrudisha nyuma kimaendeleo...

Mimi nilicho kiona ndio hicho hapo kwenye picha.
 

Attachments

  • 294227396_2278872068945227_5409490856778902146_n.jpg
    294227396_2278872068945227_5409490856778902146_n.jpg
    78.3 KB · Views: 45
mchawi wa simba ni simba ila mchawi wa yanga ni yanga kwa nini!
yanga usajili waliofanya utapelekea kupoteza timu na hakuna mchezaji kukubali mpaka msimu unakwisha kubaki benchi.
feisali kazi kwako
 
Ujumbe wako umefika, ila haikua na haja ya kuihusisha SIMBA na mauganga yako!
Eti jezi nyekundu kama ya Simba, wakati hapo ni kitambaa cheupe!
Na msuva ana saini Yanga. Wings Morison winga Msuva. Kuna jitu litakufa
 
Back
Top Bottom