Mganga alitu peleka kwenye chumba maalumu na kwenye chumba hicho kulikuwa na kinyago mfano wa mtu limefunikwa kitambaa chekundu kama jezi ya Simba kisha akatuambia kila mmoja afunue kitambaa hicho na atamuona mtu anae mroga na kumrudisha nyuma kimaendeleo...
mchawi wa simba ni simba ila mchawi wa yanga ni yanga kwa nini!
yanga usajili waliofanya utapelekea kupoteza timu na hakuna mchezaji kukubali mpaka msimu unakwisha kubaki benchi.
feisali kazi kwako