Kenya ilikuwa imeshapata katiba mpya?Wewe jamaa acha uzushi, mwai kibaki alijitangaza mshindi na kujiapisha ikulu fasta unadhani tumesahau?
Hatuna influence hiyo kwa Kenya, Kenya siyo Zanzibar au Comoro.Ahasnte sana, na ole wenu ashinde tusiyemtaka sisi waTanzania...
Tumempeleka Kikwete kimkakati...Hatuna influence hiyo kwa Kenya, Kenya siyo Zanzibar au Comoro.
Kama Dotto Biteko na Musukuma wanazo, nani atashindwa kupata?Nani mwenye Phd??!, ni huyo Mk254 ?!!😏
Tuko najua maccm ni wakora kama hyena wa serengeti 😂😂Eti maccm hahaaaaa....hv hadi Kenya mnajua kuwa maccm ni majizi ya kura?
Kwendraa huko unatamani raila ashinde. Ati 50%, u wish. Ruto yuko 51.ushee percent.Naona MaCCM humu yamechachamaa kufungua nyuzi ili kutafuta mbinu za kupaka tope uchaguzi uliofanyika Kenya, yanajaribu kutumia hizo mbinu kuficha aibu ya dhuluma zao kwao huko Tanzania.
Ifahamike kawaida baada ya kukamilisha zoezi la kuhesabu kura, huwa hatukimbilii kumtangaza mshindi na kumuapisha kama kwenu huko, huwa lazima kura zihakikiwe kwa mbinu zinazokubalika na wagombea wote, tena mbele ya waangalizi wa kimataifa na vyombo vya habari, ili kuhakikisha anayeshindwa hata akienda mahakamani hatakua na sababu zozote au hoja zozote zenye mashiko.
Kingine, katiba inahitaji mshindi lazima awe aliyekubalika na Wakenya, maana kwamba lazima ashinde kwa asilimia 50%+1 na mpaka sasa hakuna aliyekidhi hicho kigezo, hivyo kuna uwezekano tukarudia zoezi la ushindani baina ya wagombea namba moja na mbili, wengine watoswe.
Hii yote ni kwa ajili ya kuhakikisha tunampata kiongozi anayekubaliwa na wananchi, sio kulazimishiwa mtu. Kwa hivyo tulizeni nyuzi zenu hizo kila mara ooh "Kenya kimenuka", "Kenya kitawaka", "Kenya kitaiva", "Kenya watakatana mapanga".....mumekaa kama mafisi yenye njaa mnasubiri mkono udondoke hamuna hata aibu....ha ha ha!!!
😂😂🤣😅🤣hamuna
Kama Dotto Biteko na Musukuma wanazo, nani atashindwa kupata?
Nikweli jamaa ni Phd wa kuishi kwa slum anaweza kukupa nondo za maisha ya kibera hadi ukashangaaNani mwenye Phd??!, ni huyo Mk254 ?!![emoji57]
Mojawapo ya mambo haya manne litatokea KenyaYupo mjumbe mmoja tumemtuma huko, ngoja tuone ujanja wake wa kufunga goli la mkono
We bwege noa panga lako mapema acha kupoteza muda shauri yako [emoji849][emoji849][emoji849]Utasikia eti vurugu zinanusia. Yaani hivyo viumbe vinanusia vurugu vikiwa mbali kilomita zote hizo? Hao bila shaka sio binadamu wenzetu.
Kwendraa huko unatamani raila ashinde. Ati 50%, u wish. Ruto yuko 51.ushee percent.
NonsenseNaona MaCCM humu yamechachamaa kufungua nyuzi ili kutafuta mbinu za kupaka tope uchaguzi uliofanyika Kenya, yanajaribu kutumia hizo mbinu kuficha aibu ya dhuluma zao kwao huko Tanzania.
Ifahamike kawaida baada ya kukamilisha zoezi la kuhesabu kura, huwa hatukimbilii kumtangaza mshindi na kumuapisha kama kwenu huko, huwa lazima kura zihakikiwe kwa mbinu zinazokubalika na wagombea wote, tena mbele ya waangalizi wa kimataifa na vyombo vya habari, ili kuhakikisha anayeshindwa hata akienda mahakamani hatakua na sababu zozote au hoja zozote zenye mashiko.
Kingine, katiba inahitaji mshindi lazima awe aliyekubalika na Wakenya, maana kwamba lazima ashinde kwa asilimia 50%+1 na mpaka sasa hakuna aliyekidhi hicho kigezo, hivyo kuna uwezekano tukarudia zoezi la ushindani baina ya wagombea namba moja na mbili, wengine watoswe.
Hii yote ni kwa ajili ya kuhakikisha tunampata kiongozi anayekubaliwa na wananchi, sio kulazimishiwa mtu. Kwa hivyo tulizeni nyuzi zenu hizo kila mara ooh "Kenya kimenuka", "Kenya kitawaka", "Kenya kitaiva", "Kenya watakatana mapanga".....mumekaa kama mafisi yenye njaa mnasubiri mkono udondoke hamuna hata aibu....ha ha ha!!!
Acha uongo watu wanapika matokeo hapo, ingekuwa inakubalika machafuko yasingekuwa yanatokea Kenya wala Odinga asingeqpishwa kuwa Rais wa watu uchaguzi uliopitaNaona MaCCM humu yamechachamaa kufungua nyuzi ili kutafuta mbinu za kupaka tope uchaguzi uliofanyika Kenya, yanajaribu kutumia hizo mbinu kuficha aibu ya dhuluma zao kwao huko Tanzania.
Ifahamike kawaida baada ya kukamilisha zoezi la kuhesabu kura, huwa hatukimbilii kumtangaza mshindi na kumuapisha kama kwenu huko, huwa lazima kura zihakikiwe kwa mbinu zinazokubalika na wagombea wote, tena mbele ya waangalizi wa kimataifa na vyombo vya habari, ili kuhakikisha anayeshindwa hata akienda mahakamani hatakua na sababu zozote au hoja zozote zenye mashiko.
Kingine, katiba inahitaji mshindi lazima awe aliyekubalika na Wakenya, maana kwamba lazima ashinde kwa asilimia 50%+1 na mpaka sasa hakuna aliyekidhi hicho kigezo, hivyo kuna uwezekano tukarudia zoezi la ushindani baina ya wagombea namba moja na mbili, wengine watoswe.
Hii yote ni kwa ajili ya kuhakikisha tunampata kiongozi anayekubaliwa na wananchi, sio kulazimishiwa mtu. Kwa hivyo tulizeni nyuzi zenu hizo kila mara ooh "Kenya kimenuka", "Kenya kitawaka", "Kenya kitaiva", "Kenya watakatana mapanga".....mumekaa kama mafisi yenye njaa mnasubiri mkono udondoke hamuna hata aibu....ha ha ha!!!
Safari hii Odinga atakufa na mtu nakwambiaMuna mengi ya kujifunza kutoka kwetu, muache hizo dhuluma zenu dhidi ya watu wenu huko.