Kenya 2022 Tulieni, tupo kwenye zoezi la kuhakiki kura na mpaka sasa hakuna aliyekidhi idadi ya kutunukiwa Urais

Kenya 2022 General Election
Ahasnte sana, na ole wenu ashinde tusiyemtaka sisi waTanzania...
 
Naona MaCCM humu yamechachamaa kufungua nyuzi ili kutafuta mbinu za kupaka tope uchaguzi uliofanyika Kenya, yanajaribu kutumia hizo mbinu kuficha aibu ya dhuluma zao kwao huko Tanzania.

Ifahamike kawaida baada ya kukamilisha zoezi la kuhesabu kura, huwa hatukimbilii kumtangaza mshindi na kumuapisha kama kwenu huko, huwa lazima kura zihakikiwe kwa mbinu zinazokubalika na wagombea wote, tena mbele ya waangalizi wa kimataifa na vyombo vya habari, ili kuhakikisha anayeshindwa hata akienda mahakamani hatakua na sababu zozote au hoja zozote zenye mashiko.

Kingine, katiba inahitaji mshindi lazima awe aliyekubalika na Wakenya, maana kwamba lazima ashinde kwa asilimia 50%+1 na mpaka sasa hakuna aliyekidhi hicho kigezo, hivyo kuna uwezekano tukarudia zoezi la ushindani baina ya wagombea namba moja na mbili, wengine watoswe.

Hii yote ni kwa ajili ya kuhakikisha tunampata kiongozi anayekubaliwa na wananchi, sio kulazimishiwa mtu. Kwa hivyo tulizeni nyuzi zenu hizo kila mara ooh "Kenya kimenuka", "Kenya kitawaka", "Kenya kitaiva", "Kenya watakatana mapanga".....mumekaa kama mafisi yenye njaa mnasubiri mkono udondoke hamuna hata aibu....ha ha ha!!!
Kwendraa huko unatamani raila ashinde. Ati 50%, u wish. Ruto yuko 51.ushee percent.
 
Oooh kimenuka nchini kwako umeshuka gazeti hilo wakati mlikua mnajisifia matokeo yenu yapo fasta sana na demokrasia pana. Msisingizie ccm wakati kila kona wakenya wanalalamika kuchelewa kwa matokeo
 
Yupo mjumbe mmoja tumemtuma huko, ngoja tuone ujanja wake wa kufunga goli la mkono
Mojawapo ya mambo haya manne litatokea Kenya
1) uchaguzi kurudiwa
2) serikali ya mseto
3) Raila kuwa rais wala siyo ruto
4) machafuko
 
Utasikia eti vurugu zinanusia. Yaani hivyo viumbe vinanusia vurugu vikiwa mbali kilomita zote hizo? Hao bila shaka sio binadamu wenzetu.
We bwege noa panga lako mapema acha kupoteza muda shauri yako [emoji849][emoji849][emoji849]
 
Ukute Uhuru na Ruto walikuwa wanamchezea mchezo Raila.
 
Kwendraa huko unatamani raila ashinde. Ati 50%, u wish. Ruto yuko 51.ushee percent.

Hata nikitamani, mwisho wa siku maamuzi ya walio wengi lazima yaheshimiwe, na ya walio wachache yasikilizwe, ndio utamu na uchungu wa demokrasia, kimsingi atakayeshindwa ashindwe kwa haki.....
Kwa hivyo tusubiri uhakiki wa kura, zitangazwe, mshindi atangazwe ila baada ya siku 14 aapishwe, huwa hatuapishi kama kwenu huko utadhani mwizi anafukuziwa, lazima zipite siku 14 kwanza ili kuwapa wengine fursa ya kwenda mahakamani kama wakihisi haki zao zimekiukwa.
 
Naona MaCCM humu yamechachamaa kufungua nyuzi ili kutafuta mbinu za kupaka tope uchaguzi uliofanyika Kenya, yanajaribu kutumia hizo mbinu kuficha aibu ya dhuluma zao kwao huko Tanzania.

Ifahamike kawaida baada ya kukamilisha zoezi la kuhesabu kura, huwa hatukimbilii kumtangaza mshindi na kumuapisha kama kwenu huko, huwa lazima kura zihakikiwe kwa mbinu zinazokubalika na wagombea wote, tena mbele ya waangalizi wa kimataifa na vyombo vya habari, ili kuhakikisha anayeshindwa hata akienda mahakamani hatakua na sababu zozote au hoja zozote zenye mashiko.

Kingine, katiba inahitaji mshindi lazima awe aliyekubalika na Wakenya, maana kwamba lazima ashinde kwa asilimia 50%+1 na mpaka sasa hakuna aliyekidhi hicho kigezo, hivyo kuna uwezekano tukarudia zoezi la ushindani baina ya wagombea namba moja na mbili, wengine watoswe.

Hii yote ni kwa ajili ya kuhakikisha tunampata kiongozi anayekubaliwa na wananchi, sio kulazimishiwa mtu. Kwa hivyo tulizeni nyuzi zenu hizo kila mara ooh "Kenya kimenuka", "Kenya kitawaka", "Kenya kitaiva", "Kenya watakatana mapanga".....mumekaa kama mafisi yenye njaa mnasubiri mkono udondoke hamuna hata aibu....ha ha ha!!!
Nonsense
 
Acha uongo watu wanapika matokeo hapo, ingekuwa inakubalika machafuko yasingekuwa yanatokea Kenya wala Odinga asingeqpishwa kuwa Rais wa watu uchaguzi uliopita
 
Back
Top Bottom