Nadhani ulipanda meli maana boat karibia zote speed yake ni masaa mawili ama matatu uko Dar na kuna mpaka za dk 45Hivi karibuni nilikuwa Zanzibar, baada ya shughuli zangu nilikwenda bandari lakini nikawa nimechelewa boat. Nikalazimika kupanda ile ya saa 3 usiku. Tulifika Dar saa 9 usiku ila cha ajabu tukaambiwa kushuka ni saa 12 asubuhi. Hii iliniacha na maswali sana kama kuna kusafiri usiku kwa nini tusishuke maana kwa Dar saa 9 usiku ni kama kumekucha tu. Kama issue ni bandari basi uwekwe utaratibu ila kwa sasa ni kusumbuana aisee. Yaani haya mambo ni viashiria vya umasikini wa nchi.
Tatizo ni nini mpaka kuwasubirisha watu masaa matatu? Giza au kukosa wafanyakazi, unaonekana akili zako ndio za hao hao anaowaongelea.We mwenyewe maskini,
umechelewa, ukapanda boti la usiku.
Umeshindwa nini kulala Hotel uondoke kesho?
Ndege hazipo kwanza?
We ni Maskini kuliko hata hao unaita Maskini
Tatizo sio speed, kwanini mtu asubiri masaa matatu kutoka bandarini, huoni kama ni tatizo?Nadhani ulipanda meli maana boat karibia zote speed yake ni masaa mawili ama matata uko Dar na kuna mpaka za dk 45
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1][emoji1][emoji1]We mwenyewe maskini,
umechelewa, ukapanda boti la usiku.
Umeshindwa nini kulala Hotel uondoke kesho?
Ndege hazipo kwanza?
We ni Maskini kuliko hata hao unaita Maskini
Hilo ndio tatizo kubwa na la msingi, na halijaanza kupigiwa kelele leo.. Zamani zile za Flying horse bandari ya Zenji ilikuwa inafungwa saa nne usiku kwahiyo inabidi chombo kiondoke bandarini na kwenda kupaki huko katikati ya bahari mpaka saa tisa alfajiri ndio kianze safari ya Dar.Tatizo sio speed, kwanini mtu asubiri masaa matatu kutoka bandarini, huoni kama ni tatizo?
Ungeuliza sababu ni nini? Ya kuendelea kukaa kwenye boat wakati mmeishafika!!Tatizo sio speed, kwanini mtu asubiri masaa matatu kutoka bandarini, huoni kama ni tatizo?
Kwanini alichelewa?Tatizo ni nini mpaka kuwasubirisha watu masaa matatu? giza au kukosa wafanyakazi, unaonekana akili zako ndio za hao hao anaowaongelea
Kuna boat ya kutoka Zanzibar saa tatu usiku inatembea mwendo mdogo sana inaingia Dar saa tisa usiku. Abiria hamruhusiwi kuteremka Hadi ifikapo saa kumi na mbili asubuhi.Nadhani ulipanda meli maana boat karibia zote speed yake ni masaa mawili ama matata uko Dar na kuna mpaka za dk 45
Sent using Jamii Forums mobile app
Niliwauliza wakasema; kwanza ni usalama wa abiria, pili ni kutokuwa na wakaguzi nyakati za usiku pale bandarini.Ungeuliza sababu ni nini? Ya kuendelea kukaa kwenye boat wakati mmeishafika!!
Jibu Lao lingetupa fursa nzuri ya kujadili na kushauri lengo likiwa KUBORESHA.
Sema Kuna mende wengi kwenye ile boat sijapata kuona...sijui wahusika hawajaliona hilo[emoji3]Kuna boat ya kutoka Zanzibar saa tatu usiku inatembea mwendo mdogo sana inaingia Dar saa tisa usiku. Abiria hamruhusiwi kuteremka Hadi ifikapo saa kumi na mbili asubuhi.
Ni boat nzuri na ya kisasa ,sema Kuna mende wengi kwenye ile boat sijapata kuona...sijui wahusika hawajaliona hilo
Ndiyo maana zamani hizo boat ilikuwa zinakaa sehemu usiku zinaelea hadi saa sita usiku ndiyo zinaanza safari ili zifike Dar alfajiri..Hivi karibuni nilikuwa Zanzibar, baada ya shughuli zangu nilikwenda bandari lakini nikawa nimechelewa boat. Nikalazimika kupanda ile ya saa 3 usiku. Tulifika Dar saa 9 usiku ila cha ajabu tukaambiwa kushuka ni saa 12 asubuhi. Hii iliniacha na maswali sana kama kuna kusafiri usiku kwa nini tusishuke maana kwa Dar saa 9 usiku ni kama kumekucha tu. Kama issue ni bandari basi uwekwe utaratibu ila kwa sasa ni kusumbuana aisee. Yaani haya mambo ni viashiria vya umasikini wa nchi.
Kama alikuwa anawahi jambo asubuhi sana na amepata hiyo fursa ya saa tatu aiache aende akalale?We mwenyewe maskini,
umechelewa, ukapanda boti la usiku.
Umeshindwa nini kulala Hotel uondoke kesho?
Ndege hazipo kwanza?
We ni Maskini kuliko hata hao unaita Maskini
Tutumie common sense, boti ya kukaa masaa matano badala ya one hour baharini la kazi gani?Kuna boat ya kutoka Zanzibar saa tatu usiku inatembea mwendo mdogo sana inaingia Dar saa tisa usiku. Abiria hamruhusiwi kuteremka Hadi ifikapo saa kumi na mbili asubuhi.
Ni boat nzuri na ya kisasa ,sema Kuna mende wengi kwenye ile boat sijapata kuona...sijui wahusika hawajaliona hilo
Hiyo uliyopanda ni meli ya mizigo siyo boat. Azam sealink siyo boat. Siku nyingine uwe unafahamu umepanda nini na utaratibu ukoje.Hivi karibuni nilikuwa Zanzibar, baada ya shughuli zangu nilikwenda bandari lakini nikawa nimechelewa boat. Nikalazimika kupanda ile ya saa 3 usiku. Tulifika Dar saa 9 usiku ila cha ajabu tukaambiwa kushuka ni saa 12 asubuhi. Hii iliniacha na maswali sana kama kuna kusafiri usiku kwa nini tusishuke maana kwa Dar saa 9 usiku ni kama kumekucha tu. Kama issue ni bandari basi uwekwe utaratibu ila kwa sasa ni kusumbuana aisee. Yaani haya mambo ni viashiria vya umasikini wa nchi.