Nimeiona hiyo Mkuu, tunapigwa changa la macho. Mpaka tukae sawa movie imekwisha.
Wewe ni mwanaCCM au jambazi kama Sabaya?Hili la sabaya kwa sasa ni tuhuma ambazo msingi wake kwa wengi ni kisasi tu. Na hapo ndio tunaona mama ni msaliti wa magufuli kwa kumtupa lupango kada wa ccm aliyetimiza wajibu wake hadi kuking'oa chama cha upinzani kwenye jimbo. Wana ccm kiitikadi wana shaka na samia. Hawana imani nae.
kweni unadhani utendaji kazi wako ni sawa na wafanyakazi wenzio au wafanya biashara wenzio mtaani?unaweza ukawa ni kilaza na wenzio ni mahili wa kupambana na maishaMatajiri wapo Wilaya ya Hai tu hapa Tanzania? Mbona Wakuu wengine wa Wilaya hatukuwasikia wakipambana na Matajiri walipe kodi? Kwa nini Sabaya peke yake? Au yeye ndiye Magufuli ajaye?
Wewe ni mchaga pumbavu kuliko wapumbavuWewe ni kenge mweusi
Mimi ni mmakonde, uchaga umetoka wapi wewe msukuma usiyetahiriwa?Wewe ni mchaga pumbavu kuliko wapumbavu
Majambazi yalikuwa (yapo) mengi sana kuanziaNaomba tukubaliane wote, kwamba nchi hii katika awamu ya tano tulifika pabaya sana chini ya Amirijeshi mkuu Magufuli.
Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama Mkoa au wilaya (RC or DC) ni mtu muhimu sana katika eneo husika kwa ajili ya usalama na ulinzi.
Sasa tulifikaje hapa ambapo mwenyekiti wa ulinzi na usalama wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya anafikia hatua ya kushtakiwa kwa unyang'anyi wa kutumia silaha (ujambazi)?
Inamaana serikali ya awamu ya tano chini ya Magufuli ilikuwa haijajui haya aliyokuwa anatenda DC huyu? Au ilijuwa ikanyamaza kwa vile ni DC wa Hai? na ndio maana watetezi wa Sabaya makada wa CCM, walimtetea sana?
Mnaona uchama CCM ulivyokuwa umeifikisha mahali pabaya nchi?
Hii maana yake ni kuwa, kama ya sirini ya Sabaya yanajulikana basi walio mpiga risasi Lissu na kumuua Akwilina mchana wanajulikana, walioteka watu mchana wanajulikana nk.
Sasa ili nchi isafishike walio tenda maovu wote kwa kutumia kivuli cha serikali ya Jamhuri ya Tanzania washughulikiwe bila aibu ili kuliondolea balaa taifa (hii Mshana Jr ) anaweza kuielezea vizuri zaidi maana pengine inahitaji maombi au kafara ya kitaifa.
TULIFIKA PABAYA KAMA TAIFA
nadhani issue hapa ni why him? nakubali utendaj haufanani yes. but why him?kweni unadhani utendaji kazi wako ni sawa na wafanyakazi wenzio au wafanya biashara wenzio mtaani?unaweza ukawa ni kilaza na wenzio ni mahili wa kupambana na maisha
Kwanini alichukua jukum la tra?Kuna uongo mwingi hapa kwa sababu sasa liko kundi lenye uoga kwa matajiri wakwepa kodi na wazungu washenzi wezi wa Mali za umma.
Sabaya katolewa Kafara tu kwa kumtungia kesi za uongo kwa sababu ya wenye pesa kuweka nguvu ktk kila sehemu panapo mshutumu Sabaya ili aangamizwe,kwa ninavyo wajua waTanzania matajiri ni kweli wakati Sabaya akiwawajibisha kulipa kodi siamini kama aliwaonea,hao hua ni wakwepa kodi wakubwa kwa nguvu za pesa wanahonga kuvusha mizigo yao ya kibiashara
Swala la Hayati JPM linaendelea kushutumiwa kwa uongo na nina hakika 90% ya wanaozusha haya ni watu wa Kaskazini wabinafsi na wapigaji...ni ngumu sana kuondoa upendo wa JPM kwa watu zaidi ya 85% hapa nchini isipokua ni watu wasio sema sema wala hawaingii mitandaoni.
Nchi hii mtu ukiwa mkali na kutetea wengi wasinyonywe na wachache unaitwa dikteta,ukiwa mpole na watu wanaiba wanafurahi na wale wasio na mianya ya kuiba wanakuita dhaifu
Tanzania ni nchi yenye watu wasiojua wanatakaga nini.
HAAAAAAAA wewe naona ni jambazi wenza wa ole saa baya na wenda zake, sasa unajaribu kumutetea muuaji, mwizi na sijui niseme nini, wataka kusema jiwe hahusiki na kupotea kwa azory gwada, ben saa nane, kupigwa risasi 37 mhe tundu lissu, kuiba uchanguzi mchana kweupe hapo 2020, sasa pale dodoma ni makofi tu kwa serikali, mr or mrs you must be suffering from a very seriuos mental illness, see a doc as soon as possible, kuwa na akili sio fermented porridge in your head pls, kapelekee saa baya sabuni na dawa ya meno pale remand home arushaKuna uongo mwingi hapa kwa sababu sasa liko kundi lenye uoga kwa matajiri wakwepa kodi na wazungu washenzi wezi wa Mali za umma.
Sabaya katolewa Kafara tu kwa kumtungia kesi za uongo kwa sababu ya wenye pesa kuweka nguvu ktk kila sehemu panapo mshutumu Sabaya ili aangamizwe,kwa ninavyo wajua waTanzania matajiri ni kweli wakati Sabaya akiwawajibisha kulipa kodi siamini kama aliwaonea,hao hua ni wakwepa kodi wakubwa kwa nguvu za pesa wanahonga kuvusha mizigo yao ya kibiashara
Swala la Hayati JPM linaendelea kushutumiwa kwa uongo na nina hakika 90% ya wanaozusha haya ni watu wa Kaskazini wabinafsi na wapigaji...ni ngumu sana kuondoa upendo wa JPM kwa watu zaidi ya 85% hapa nchini isipokua ni watu wasio sema sema wala hawaingii mitandaoni.
Nchi hii mtu ukiwa mkali na kutetea wengi wasinyonywe na wachache unaitwa dikteta,ukiwa mpole na watu wanaiba wanafurahi na wale wasio na mianya ya kuiba wanakuita dhaifu
Tanzania ni nchi yenye watu wasiojua wanatakaga nini.
Nashangaa....Matajiri wapo Wilaya ya Hai tu hapa Tanzania? Mbona Wakuu wengine wa Wilaya hatukuwasikia wakipambana na Matajiri walipe kodi? Kwa nini Sabaya peke yake? Au yeye ndiye Magufuli ajaye?
Km ww ulivyo na uhakika kuwa hayo yote yanazushwa na watu wa kaskazini basi ndivyo ilivyo kwenu pia,tunawatambua wote mnao mtetea aliekuwa dikteta kuwa mnatokea kanda ya ziwa,...hivi Tanzania kuna wakuu wa wilaya wangapi?...INA maana hao wote waliobakia hawakuwa wakisimamia ukusanyaji wa kodi kwnye wilaya zao?...na kimsingi mkuu wa wilaya sio mkusanya kodi na wala hahusiki kuingia dukani kwa mfanya biashara na kuanza kuhoji na kukagua,hio ni kazi ya afisa wa tra,unless mkuu wa wilaya aongozane na afisa wa tra maana ndio mwenye uelewa wa masuala ya kodi na sio DC,lkn mpuuzi yule wa Hai alikua anaingia kwenye maduka akiwa na kundi lake LA mtaani,akijitahidi sana bac anachukua na askari wawili washkaji zake ambao baadae atawapa mgao wao,huyo jamaa ni jambazi linalotakiwa kwenda jela miaka mingi sana,litoke limezeeka.yaani kwa kua kwako ni arusha basis ndio atoke hai kuja kupambana na wafanyabiashara wa arusha kimabavu kweli???....INA maana viongozi wa arusha hawawezi kufanya hio kazi hadi waje wasaidiwe na DC wa hai,semeni yote mtakayosema,lkn lijamaa ni jambazi sugu,na liliwekwa madarakani makusudi na kwa lengo maalum na jambazi kuu mwendazake wenu huyo,alijua kabisa hai ni pagumu kwa MTU asie mbabe na jambazi,na alijua yote yanayotendeka pale ila alifumba macho ili lengo LA kunyoosha viongozi wa hai kuanzia mbunge,madiwani,wenyeviti na wajumbe ambao kwa asilimia krb zote walikua CHADEMA litimie,na pia alijua kuwa bila kuweka jambazi wale wachaga hawatawezekana,na ninakuhakikishia km jambazi kuu lisingekufa basi sabaya angepanda cheo na kwa RC mwaka huu huu au mwakani,hio inakuwa ni kama shukrani kwa kazi kubwa alioifanya hai,na lazime angeletwa dar aje kutesa watu km yule jambazi mwingine aliekuwepo dar,....wajinga hawawezi kuelewa Bali wataona jambazi kaonewa,......time will tell,just be patient na tumuombe Mungu atupe umri tutayaona mengi,usidhani mashtaka ya huyo jambazi yameisha,hayo yaliopelekwa kwa hakimu ni machachr sana ambayo uchunguzi wake umekamilika,lakini subir miezi miwili au mitatu utashangaa jambazi lina kesi 60 pumbavu zakeKuna uongo mwingi hapa kwa sababu sasa liko kundi lenye uoga kwa matajiri wakwepa kodi na wazungu washenzi wezi wa Mali za umma.
Sabaya katolewa Kafara tu kwa kumtungia kesi za uongo kwa sababu ya wenye pesa kuweka nguvu ktk kila sehemu panapo mshutumu Sabaya ili aangamizwe,kwa ninavyo wajua waTanzania matajiri ni kweli wakati Sabaya akiwawajibisha kulipa kodi siamini kama aliwaonea,hao hua ni wakwepa kodi wakubwa kwa nguvu za pesa wanahonga kuvusha mizigo yao ya kibiashara
Swala la Hayati JPM linaendelea kushutumiwa kwa uongo na nina hakika 90% ya wanaozusha haya ni watu wa Kaskazini wabinafsi na wapigaji...ni ngumu sana kuondoa upendo wa JPM kwa watu zaidi ya 85% hapa nchini isipokua ni watu wasio sema sema wala hawaingii mitandaoni.
Nchi hii mtu ukiwa mkali na kutetea wengi wasinyonywe na wachache unaitwa dikteta,ukiwa mpole na watu wanaiba wanafurahi na wale wasio na mianya ya kuiba wanakuita dhaifu
Tanzania ni nchi yenye watu wasiojua wanatakaga nini.
Asante sana kwa kutambua hill,wajinga hawawez kuelewaHuyo Mhuni aliwekwa pale HAI kimkakati Magufuli alikuwa anayajua yanayotendeka huko na aliyafurahia