Tuliingia kwa urahisi, wasema wanajeshi wa Ukraine waliohusika katika uvamizi dhidi ya Urusi

hii mbinu umejifunza kambi gan ? msata au ?Ukraine alik.a hajaruhusiwa kuingia Urusi elewa
 
historia hii umejifunza wap ? kipind Marekan anatumia Nuke , buffer zone ilikuwa ndani ya japan na sio USA
 
hii mbinu umejifunza kambi gan ? msata au ?Ukraine alik.a hajaruhusiwa kuingia Urusi elewa
Sasa wameruhusiwa ila waliotangulia kuingia haijulikani walipo, bado hujaelewa? Ili Ukraine imate mji wa Kursk inatakiwa iwe na wapiganaji wengi wa kushambulia na kulinda maeneo waliyoyashikilia. Sasa Ukraine imetumia brigade 4 ambazo ni sawa na wanajeshi 20k kuingia Kursk na wakati huo huo Russia imepeleka wanajeshi takribani 50k Kursk. Sukhoi zinapiga patrol Kursk maana yake mipaka imeshadhibitiwa hakuna kuingia wala kutoka na kilichobaki ni kazi ya kusafisha tu.
 
Unazungumzia Askari wa Kamikaze walioshambulia Pearl Harbor mwaka 1944? Kwahiyo unailinganisha Marekani ya 1944 na Urusi ya sasa? Sasa hiyo ndio maana ya Marekani kuwa Taifa Kubwa! Ahahahahaha!!!
 
Unazungumzia Askari wa Kamikaze walioshambulia Pearl Harbor mwaka 1944? Kwahiyo unailinganisha Marekani ya 1944 na Urusi ya sasa? Sasa hiyo ndio maana ya Marekani kuwa Taifa Kubwa! Ahahahahaha!!!
Taifa kubwa kwenye hii dunia kwani alianza marekani?? Shida watoto vichwa vyenu mmekaririshwa dunia ilianza baada ya 1945,, Mataifa makubwa yamekuja na yameenda binadamu bado wapo palepale., na yataibuka mataifa makubwa mengine na yatapotea,,,,,,kuna taifa hadi sasa limewapita wa Misri wa kale kwa maarifa na teknolojia ????Mbona wakapotea
 
Huu siyo mtego kweli? Isije ikatokea umezungukwa pande zote na Putin,refer Wagner kipindi kile wanalalamika hawana silaha wanatumia kolea, lakini walikuwa wanabonda watu, ngoja tuone
Ndio hvyo Ile njia waliyotumia kuingia huwezi Tena kuitumia kutoka na silaha zinawaishia hazifiki mstari wa mbele njia za kuingia zimefungwa kazi wanayo nguvu waliyotumia kuvamia urusi Bora wangetumia kujilinda maeneo Yao yasichukuliwe zaidi
 
Kwa hiyo 9/11 ilikuwaje wasijue mtaalamu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…