Tuliingia kwa urahisi, wasema wanajeshi wa Ukraine waliohusika katika uvamizi dhidi ya Urusi

Tuliingia kwa urahisi, wasema wanajeshi wa Ukraine waliohusika katika uvamizi dhidi ya Urusi

Hujasoma hapo mwishoni mwanajeshi wa Ukraine akisema kwamba mstari wao wa mbele ulioingia Kursk umeanza kukatika na hawajui watawapata vipi wenzao.

Mtandaoni inasemwa Russia iliondoa wanajeshi wake mpakani na hata meli za kivita ziliondoshwa Kursk wiki moja kabla Ukraine haijavuka mpaka na lengo ni kuwacha Ukraine waingie ndani ndani kabisa halafu kazi ndio ndio ianze na ndio maana wao wenyewe wanakiri kwamba waliingia Kursk bila kupata upinzani.
hii mbinu umejifunza kambi gan ? msata au ?Ukraine alik.a hajaruhusiwa kuingia Urusi elewa
 
historia hii umejifunza wap ? kipind Marekan anatumia Nuke , buffer zone ilikuwa ndani ya japan na sio USA
Marekani yenyewe vita kuu ya 2 ilipigwa na Japan na ni sehemu ndogo mtu akapanic hadi akaamua kutumia bomu la nuclear,,,mrusi kakomaa sana kuliko hao maboya wa western,,,,angefanyiwa hivo marekani angetandika hio nchi hata mabomu ma 5 ya nuclear,,,,,ila mrusi anajua kuwanyoosha taratibu hana papara
 
hii mbinu umejifunza kambi gan ? msata au ?Ukraine alik.a hajaruhusiwa kuingia Urusi elewa
Sasa wameruhusiwa ila waliotangulia kuingia haijulikani walipo, bado hujaelewa? Ili Ukraine imate mji wa Kursk inatakiwa iwe na wapiganaji wengi wa kushambulia na kulinda maeneo waliyoyashikilia. Sasa Ukraine imetumia brigade 4 ambazo ni sawa na wanajeshi 20k kuingia Kursk na wakati huo huo Russia imepeleka wanajeshi takribani 50k Kursk. Sukhoi zinapiga patrol Kursk maana yake mipaka imeshadhibitiwa hakuna kuingia wala kutoka na kilichobaki ni kazi ya kusafisha tu.
 
historia hii umejifunza wap ? kipind Marekan anatumia Nuke , buffer zone ilikuwa ndani ya japan na sio USA
Kwani Hawaii ipo marekani,,,,,,,jamaa alifloat akataka amalize vita mapema,, mrusi miaka mingapi sasa na hana papara
Screenshot_20240815-161019_Samsung Internet.jpg
 
Marekani yenyewe vita kuu ya 2 ilipigwa na Japan na ni sehemu ndogo mtu akapanic hadi akaamua kutumia bomu la nuclear,,,mrusi kakomaa sana kuliko hao maboya wa western,,,,angefanyiwa hivo marekani angetandika hio nchi hata mabomu ma 5 ya nuclear,,,,,ila mrusi anajua kuwanyoosha taratibu hana papara
Unazungumzia Askari wa Kamikaze walioshambulia Pearl Harbor mwaka 1944? Kwahiyo unailinganisha Marekani ya 1944 na Urusi ya sasa? Sasa hiyo ndio maana ya Marekani kuwa Taifa Kubwa! Ahahahahaha!!!
 
Unazungumzia Askari wa Kamikaze walioshambulia Pearl Harbor mwaka 1944? Kwahiyo unailinganisha Marekani ya 1944 na Urusi ya sasa? Sasa hiyo ndio maana ya Marekani kuwa Taifa Kubwa! Ahahahahaha!!!
Taifa kubwa kwenye hii dunia kwani alianza marekani?? Shida watoto vichwa vyenu mmekaririshwa dunia ilianza baada ya 1945,, Mataifa makubwa yamekuja na yameenda binadamu bado wapo palepale., na yataibuka mataifa makubwa mengine na yatapotea,,,,,,kuna taifa hadi sasa limewapita wa Misri wa kale kwa maarifa na teknolojia ????Mbona wakapotea
 
Huu siyo mtego kweli? Isije ikatokea umezungukwa pande zote na Putin,refer Wagner kipindi kile wanalalamika hawana silaha wanatumia kolea, lakini walikuwa wanabonda watu, ngoja tuone
Ndio hvyo Ile njia waliyotumia kuingia huwezi Tena kuitumia kutoka na silaha zinawaishia hazifiki mstari wa mbele njia za kuingia zimefungwa kazi wanayo nguvu waliyotumia kuvamia urusi Bora wangetumia kujilinda maeneo Yao yasichukuliwe zaidi
 
Hata kama askari wa Ukraine waliokaa masaa mawili ndani ya Urusi, hii imeonesha udhaifu mkubwa sana upande wa Urusi. Unajiitaje Taifa Kubwa halafu intelijensia yako inashindwa kutambua vitu vidogo kama hivi! Ingelikuwa Marekani, wangetambua tangu siku ya kwanza ya kusuka mipango. Mfano, unaambjwa Marekani ilijua mapema kuwa Rais wa Iran anaenda kudedi! Hapo ndio Kuna utofauti wa Taifa Kubwa na Urusi inayojiita Taifa Kubwa!
Kwa hiyo 9/11 ilikuwaje wasijue mtaalamu?
 
Back
Top Bottom