Tuliingia kwa urahisi, wasema wanajeshi wa Ukraine waliohusika katika uvamizi dhidi ya Urusi

Unajiingiza utahira??
Mkubwa huko kakanyaga waya mamaeee🤣🤣🤣... Sasa anatoa wanajeshi Ukraine anawapeleka nyumbani(kursh) kupigana na Ukraine.... Na Ukraine nae anazidi kwenda....hii inaitwa KOMOA NIKUKOMOE😂🤣

Russia appears to have diverted several thousand troops from occupied Ukraine to counter Kursk offensive, US officials say

CNN mie hao nilishawafuta kabisa🤣🤣🤣🤣kila mtu na anachotaka kuamini..............ila kazeni msuli Trump anakuja kupiga finishing la maana huko
Screenshot_20240816-120032_Telegram.jpg
Screenshot_20240816-120107_Telegram.jpg
 
Hata kama askari wa Ukraine waliokaa masaa mawili ndani ya Urusi, hii imeonesha udhaifu mkubwa sana upande wa Urusi. Unajiitaje Taifa Kubwa halafu intelijensia yako inashindwa kutambua vitu vidogo kama hivi! Ingelikuwa Marekani, wangetambua tangu siku ya kwanza ya kusuka mipango. Mfano, unaambjwa Marekani ilijua mapema kuwa Rais wa Iran anaenda kudedi! Hapo ndio Kuna utofauti wa Taifa Kubwa na Urusi inayojiita Taifa Kubwa!
Unapoonna Marekani anasema amegundua mpango fulani basi ujue ni yeye aliyeandaa na kupanga huo mpango. Hivyo kusema eti Marekani ilijua mapema kuhusu kifo cha Rais wa Iran unatakiwa uwe na akili kubwa sana na sio ushabiki kwa vile tu wewe ni Pro 🇺🇸.

Ni kwanini huwa hatoi taarifa za yale matukio yanayowagusa wao na washirika wake. Je tukio la kigaidi la September 11 mbona hakulijua
 
Mkubwa huko kakanyaga waya mamaeee🤣🤣🤣... Sasa anatoa wanajeshi Ukraine anawapeleka nyumbani(kursh) kupigana na Ukraine.... Na Ukraine nae anazidi kwenda....hii inaitwa KOMOA NIKUKOMOE😂🤣

Russia appears to have diverted several thousand troops from occupied Ukraine to counter Kursk offensive, US officials say

Ukraine apeleke HIMARS huko Kursk, zile HIMARS ni moto mwingine ule.
 
Unapoonna Marekani anasema amegundua mpango fulani basi ujue ni yeye aliyeandaa na kupanga huo mpango. Hivyo kusema eti Marekani ilijua mapema kuhusu kifo cha Rais wa Iran unatakiwa uwe na akili kubwa sana na sio ushabiki kwa vile tu wewe ni Pro 🇺🇸.

Ni kwanini huwa hatoi taarifa za yale matukio yanayowagusa wao na washirika wake. Je tukio la kigaidi la September 11 mbona hakulijua
Aliposema kwamba Russia inaenda kuipiga Ukraine ina maana US ndo alisuka mpango kwa Russia ili aivamie Ukraine? Yaani US walimchukulia maamuzi Putin?
 
Marekani yenyewe vita kuu ya 2 ilipigwa na Japan na ni sehemu ndogo mtu akapanic hadi akaamua kutumia bomu la nuclear,,,mrusi kakomaa sana kuliko hao maboya wa western,,,,angefanyiwa hivo marekani angetandika hio nchi hata mabomu ma 5 ya nuclear,,,,,ila mrusi anajua kuwanyoosha taratibu hana papara
Vita haina mbabe kweli
Hata myahudi alichapwa kuja kushtuka mpaka mateka wamebebwa na wanamgambo wa Hamas
Kwa hasira wameuwa watu wasiokuwa na hatia huku mateka bado wameshikiliwa

Russia anapambana na nchi nyingi kwa kuwa wote ni weupe huwezi kujua hizo maiti za Ukraine ni Canadians au waingereza au wao wenyewe

Ingekuwa nchi dhaifu western na 🇺🇸 wangeingia mazima
 
Vita haina mbabe kweli
Hata myahudi alichapa kuja kushtuka mpaka mateka wamebebwa na wanamgambo wa Hamas
Kwa hasira wameuwa watu wasiokuwa na hatia huku mateka bado wameshikiliwa

Russia anapambana na nchi nyingi kwa kuwa wote ni weupe huwezi kujua hizo maiti za Ukraine ni Canadians au waingereza au wao wenyewe

Ingekuwa nchi dhaifu western na 🇺🇸 wangeingia mazima
Mnajifariji..... Ukweli mchungu RUSSIA jina tu siku ya ngapi leo Ukraine yupo ndani ya Russia na Russia wanalijua hilo?
 
Siku ya ngapi wameambulia nini??? Hivo vijiji walimo kaa ndo watakaa kwenye meza ya mazungumzo wa bargain na mrusi kwa eneo lao lililomegwa🤣🤣🤣.....
Nia ilikua na wao wachukue sehem kubwa ya urusi ili wakifika Kwenye makubaliano na wao wawe na eneo la kutikisa kiberiti🤣🤣🤣sasa hivyo vijiji ambavyo pia wanakuja kufukuzwa havina msaada kwao
 
Back
Top Bottom