Hussein Massanza
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 1,016
- 2,195
Salaam watu wa soka
Baada ya timu yetu Singida Black Stars kutolewa kwenye mashindano ya CECAFA kwa kushinda mechi moja na kupoteza mechi mbili, maswali yamekuwa mengi mno.
Tulisema mapema tunaenda kwenye mashindano haya kwa lengo la kujaribu wachezaji ikiwa ni mpango wa mwalimu. Ndio maana hata maandalizi yalikuwa ya siku 3 tu. Haya yanakupeleka wapi kwa wachezaji ambao hawajawahi kucheza pamoja ndio kwanza wanakutana?
Kimsingi CECAFA imekuwa platform nzuri kwetu kutambulisha sehemu ya kikosi chetu kwa sababu zaidi ya 98% ya wachezaji waliocheza ndio tumetoka kuwasajili akiwemo Kocha Mkuu, Patrick Aussems.
Kwahiyo niwatoe hofu mashabiki, timu yenu ndio imeingia rasmi kambini Arusha kujifua kuelekea msimu wa mashindano 2024/25.
Kusema ukweli kwa usajili tulioufanya, mwaka huu tumedhamiria tuchukue angalau kombe moja la kuanzia na twende tukapambane kimataifa.