Tulikamatwa kinyume na sheria kwa sababu za kisiasa na tukaachiwa kisiasa

Tatizo umekaa kivuta bangi ata kama una point mtu mwenye akili zake hawezi kaa asikilize ata sec 3 za interview yako
 
Kila Mtanzania angekuwa na spirit kama yako ya kuwa tayari kukutetea anachokiamini kwa gharama yoyote,kwa na rasilimali tulizo nazo tungekuwa kama Japan/Germany
Hivyo ni vipaji walivyojali watu wachache kwa faida ya wengi.
 
You cut the cake
 
Hate or love him this guy(Mdude Nyagali) ana balls of steel!The guy is so so patriotic!!Watu kama hawa hutokea mara chache sana kwenye jamii.
 
Ukituliaga huwa unaandika vitu vya maana
 
Dr. Slaa anaandaliwa kuja kupumbaza upinzani uchaguzi ujao.
 
Huna lolote wewe, unadhani ubunge unapatikana hivyo, ndio maana Sugu hauungi mkono uchale wako huo
 
Hivi ile michango iko wapi kwa wazalendo wa nchi hii kikundi kidogo kutumia dola kujinufaisha ....watanzania sijui ujinga au kukosa elimu tunakubali kuuza bandari ....kikundi kidogo cha mwanasiasa aibuuu.....tuwachangie kesi yao hii aibu
Kumbe bandari imeuzwa ,imeuzwa na nani na shilling ngapi?
 

Damu hii ipewe hatamu za uongozi kwenye chama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ