Tulikubaliana hii serikali hatuitambui kwanza sio halali kinachotokea hapa jukwaani ni usaliti

Kazanazo

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2023
Posts
7,875
Reaction score
12,665
Ni baada ya ule uchaguzi tukala yamini kuwa serikali hii imeingia madarakani bila ridhaa ya wananchi na tukasema kuwa hii serikali si halali na hatuitambui hiki kitendo cha kumuona mng'atukaji wa serikali batili kuwa ni malaika ni usaliti
 
Mi ndo sielewi kabisa!

Watanzania ni kama vile wana Stockholm’s syndrome.
 
Mkuu kwani wewe raia mwema ukiona majambazi kwa majambazi yanarushiana risasi yanauana huwezi kufurahia kisa walikuibia nyumbani kwako????? Sioni usaliti hapo kwa sababu wao kupigana hawawezi basi wanafurahia wakipigana wao kwa wao
Kwanini jambaz aonekane mtakatifu
 
Kwanini jambaz aonekane mtakatifu
Kwa nini CCM sasa hivi tupo upande wa MBOWE na wakati alikuwa Mpinzani wetu? Huoni kuwa tunafurahia alivyojitoa kwenye mambo ya CDM kumekuwa na migogoro,,,,,na wao acha wafurahie vice prezoo kujitoa huenda Kuna kampasuko kakatokea huwezi jua kama ilivyokuwa kwa DJ
 
Ni baada ya ule uchaguzi tukala yamini kuwa serikali hii imeingia madarakani bila ridhaa ya wananchi na tukasema kuwa hii serikali si halali na hatuitambui hiki kitendo cha kumuona mng'atukaji wa serikali batili kuwa ni malaika ni usaliti
Wala hakuna usaliti!
Kwa kuwa mng'atukaji kajiweka mbali na serikali ya wauaji... Bila shaka anastahiki kutambuliwa kivingine!
 
Ni baada ya ule uchaguzi tukala yamini kuwa serikali hii imeingia madarakani bila ridhaa ya wananchi na tukasema kuwa hii serikali si halali na hatuitambui hiki kitendo cha kumuona mng'atukaji wa serikali batili kuwa ni malaika ni usaliti
Hivi unaweza kuwa serious na watu ambao hawajui wanachokitaka? Nawashangaa watu wanaokubakigi kutumika kwa maslahi ya watu eti kwa kivuli cha siasa.
 
Kahama chama au
Job Justino Ndugai, Simbachawene, Tulia Ackson, Pole Pole, Majaliwa, Mpango, Jenista, Lukuvi, Nchimbi ni wachache miongoni mwa WaTanganyika wengi waliotambua na kukiri uovu wao kwa kushiriki hodhi ya usultani wa Zanzibar.
WaTanganyika wanapaswa kujitambua nje ya mirengo ya vyama!
 
Hao uliyowataja kuna siku walitoka hadhalan na wakasema wao walikuwa waovu au ni maneno yako tu wajitungia
 
Fuatilia matendo yao... Na kauli zao!
Before and After!
Ewe Mtanganyika amka! Waamshe na wengine!
 
Back
Top Bottom