Rorscharch
JF-Expert Member
- Jul 22, 2013
- 878
- 2,014
Kuna kausemi wazungu wanasemaga "pick your battles?"Sawa kama ni hivyo lakini najiuliza ni kwa nini marais waliomtangulia hawakufanya anachofanya yeye leo hii? Walipotezea kwa ajili ya masilahi mapana ya marekani au ni kwa kutokujuwa?
Same old same old, walimuimpeach kama sikosei mara mbili muhula wa kwanzaNalo hilo la impeachment linawezekana kama ndani ya siku 100 tu za utawala wake ndio haya tunayoyashuhudia mbeleni tunaweza kuliona hilo la kumtaka aondoke madarakani.
Supporters zake wanategemea hivyo, kina Obama (Democrats) kwa siasa zao chafu wamemtengeneza their worst nightmare; wamejaribu kumsulubu kwa kumtupia kila kesi kwenye vitabu mpaka kuna majimbo yaliboresha vifungu vya sheria ili kumfikisha mahakamani; wamejaribu kumsulubu mpaka kwenye kesi za kulipa Malaya ili taarifa zisifike kwa wife na media (imagine kujaribu kumharibia mtu nafasi ya kugombea urais kwa hatua alizochukua kuipambania ndoa yake)
Zaidi ya hivyo anachofanya ni justified, mabilioni ya pesa yanapotea kwa mgongo wa "misaada"; unapata ripoti mpaka eti kupitia NGOs zimetumika millions of dollars kusambaza kondomu ukanda wa Gaza (hivi kweli mmarekani anayehangaika kulipa Kodi ya nyumba aone story kama hiyo atajisikiaje.... Yaani nateseka ili mtu Fulani huko duniani afanye anasa salama)