Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Anayo haki ya hizo executive orders na hata marais wengine wameshazitoa.Trump anawaumbua Wazungu kwa unafiki wao. Wakome sasa kutulecture sisi kuhusu democracy na waanzie kwako
Yaani mtu mmoja anaibuka na tamko tu au Executive Order moja tuu na kila Muhimili unaufyata kimyaaa
Sasa hivi amefuta msaada kwa nchi ya Ukraine kwa kutoa tamko tu wakati misaada mingine ilipitishwa Senate
Ni Rais gani wa Marekani ambaye hakuwa kutumia executive order?