mambio
JF-Expert Member
- Mar 4, 2017
- 2,668
- 3,428
Nawalaumu Sana CHADEMA kwakutufikisha hapa
Walitumia muda mwingi kupambana na Magufuli.
Hawakupenda Magu alipopambania haya mambo
Wakafika mbali hadi kumtisha mwamba kuwa kitendo Cha kurekebisha mikataba tutashtakiwa MIGA
sasa wamejinyang'anya haki ya kuongelea mabaya ya Serikali hii waliyoingia nayo uchumba kwa kuwakomoa pro Magufuli.
Watanzania hawana mtetezi Tena
Acha tuendelee kuwasikiliza na kuwapigia makofi wenye nchi kina NAPE.
Ila mbele Kuna giza totoro
Kisiwa Cha amani itakuwa history
Lenye mwanzo halikosi mwisho