Tulimchukia Hayati Magufuli bila sababu za msingi, sasa tumetambua kuwa alikuwa sahihi, yanayofanyika sasa ni aibu

Tulimchukia Hayati Magufuli bila sababu za msingi, sasa tumetambua kuwa alikuwa sahihi, yanayofanyika sasa ni aibu

Nawalaumu Sana CHADEMA kwakutufikisha hapa
Walitumia muda mwingi kupambana na Magufuli.
Hawakupenda Magu alipopambania haya mambo
Wakafika mbali hadi kumtisha mwamba kuwa kitendo Cha kurekebisha mikataba tutashtakiwa MIGA
sasa wamejinyang'anya haki ya kuongelea mabaya ya Serikali hii waliyoingia nayo uchumba kwa kuwakomoa pro Magufuli.
Watanzania hawana mtetezi Tena
Acha tuendelee kuwasikiliza na kuwapigia makofi wenye nchi kina NAPE.
Ila mbele Kuna giza totoro
Kisiwa Cha amani itakuwa history
Lenye mwanzo halikosi mwisho
 
Lipi alifanya jpm lika umiza wananchi?. Mimi silioni.nionyeshe wewe jamba alilofanya jpm la kujinufaisha yeye binafsu na kuwa umiza wananchi.

Tofautisha wanachi ns magenge ya kipigaji na uporaji alyokuwa akipambana nayo jpm.

Are you serious haujui mambo aliyoyafanya yakaumiza baadhi ya wananchi? Really? Mahakama ndiyo chombo pekee cha kutenda haki na si Kikosi kazi cha JIWE ambacho kilipor fedha wafanyabiashara wa maduka ya kubadili fedha ,matajiri walioenda kinyume naye etc.

Waliotoa maoni tofauti kuhusu serikali yake walipotezwa.
 
Yani cha kusikitisha tuna option mbili tu, kuchague udikteta au kuuza nchi.
 
Kwangu adui namba moja wa taifa hili ni genge linaloitwa CCM. Katika awamu yake Magufuli kama Rais, alikuwa pia ndiye kiongozi mkuu wa hilo genge. Alifanya jitihada kubwa kuhakikisha kwamba anaua demokrasia ndani ya taifa hili na matunda ya hizo jitihada ni hili bunge la wasaliti.

Ni kweli amekufa na kuzikwa lakini katuachia balaa mbili; kwanza mrithi wake ni yule yule aliyekuwa msaidizi wake waliyeshirikiana pamoja katika jitihada za kuua hoja mbadala. Pili, matunda ya jitihada zao hizo ni bunge hili lililojaa genge la walafi lisilo na huruma na rasilimali za Watanganyika.

Hapo umepatia, kazi iendelee na kweli kazi inaendelea kwa kasi na matunda yake tunayashuhudia. Malengo kuu ni yale yale ila namna ndiyo iimebadilika. Wafaidika wa wizi na ufisadi pia wamebadilika. Badala ya watu kama Makonda and the gang sasa tunao waarabu wa Dubai...

an offer one can't choose vs coaxing and cajolery. CCM ni ile ile, oh ni ile ileee!
Excellent analysis. CCM ni ILE ILE awamu zote. Kila awamu ina genge lake la mafisadi.
 
Wakati wa msoga wapinzani walijazana bungeni lkn bado mikataba mibovu ilisainiwa, unasemaje hapo?
Kwa sababu CCM ni ile ile tena inayong’ang’ania katiba inayompa Rais madaraka yote - hata ya kunajisi kila kitu akijisikia BILA kuhojiwa wala kupingwa!

Lakini enzi hizo moto wa upinzani ulivyokuwa bungeni na nje dhidi ya mikataba mibovu na ufisadi kwa ujumla unajulikana. Mikataba ya gesi ilivyosainiwa kihuni (kwa hati ya dharura) ilikemewa pamoja na kuungwa mkono na wabunge wote wa CCM akiwemo JPM!

Halafu rejea orodha ya mafisadi (list of shame) iliyosomwa pale Mwembechai 2007 na Dr Slaa akiwa Katibu Mkuu wa CHADEMA. Sio ujasiri wa kawaida ule.

Kwa yanayoendelea… ndio ujue CCM ni janga tena msiba kabisa wa kitaifa (a real national tragedy)! Usipoelewa hilo na kuchukua hatua stahiki hakuna namna ingine.
 
Tatizo letu sisi kama wananchi hatuna tunachofanya ili kubadili au kupata tunayo yataka, kazi yetu kuishia kuongea tu humu mitandaoni basi. Hivi kama kweli Magufuli alikuwa antesa na kuuwa watu ndio tuseme hayo yalikuwa mapungufu yake hivyo tuliacha tu kwa sababu kila mtu ana mapungufu yake na sasa tunasema Samia anauza nchi bado tunaacha na kuishia kulalamika na kuyapokea kama mapungufu yake?

Elewa mada mkuu.

Yote haya ya kuuzwa nchi yametokana na Uchafuzi alioufanya mwaka 2020.
 
Ukweli ni kuwa kwenye misingi madhubuti ya kudhibiti rushwa, mikataba mibovu na upigaji wa ajabu ajabu hayati alinyoosha hii nchi. Maana tulianza kusahau haya maugoro.

Sisi sababu tulishazoea janjanjanja hasa Mbowe na baadhi ya makamanda tukachukia. Tukawa tunahitaji wajanja wakae madarakani.

Leo hii tunashuhudia madudu ambayo yanamuumiza mwannanchi wa kawaida huku Vigogo wa CCM wakifurahia .

Inaumiza sana
Mzimu wa MAGU utakuondoka tu. Na huo ndo unaokusunbua
 
Ukweli ni kuwa kwenye misingi madhubuti ya kudhibiti rushwa, mikataba mibovu na upigaji wa ajabu ajabu hayati alinyoosha hii nchi. Maana tulianza kusahau haya maugoro.

Sisi sababu tulishazoea janjanjanja hasa Mbowe na baadhi ya makamanda tukachukia. Tukawa tunahitaji wajanja wakae madarakani.

Leo hii tunashuhudia madudu ambayo yanamuumiza mwannanchi wa kawaida huku Vigogo wa CCM wakifurahia .

Inaumiza sana
kwa sababu tu labda kati ya ndugu zako hakuna aliyepata shida na huyo mzee ndo maana unamkumbuka
kama ushagundua ccm wanafurahia wizi, mbona huchukui hatua
 
Ukweli ni kuwa kwenye misingi madhubuti ya kudhibiti rushwa, mikataba mibovu na upigaji wa ajabu ajabu hayati alinyoosha hii nchi. Maana tulianza kusahau haya maugoro.

Sisi sababu tulishazoea janjanjanja hasa Mbowe na baadhi ya makamanda tukachukia. Tukawa tunahitaji wajanja wakae madarakani.

Leo hii tunashuhudia madudu ambayo yanamuumiza mwannanchi wa kawaida huku Vigogo wa CCM wakifurahia .

Inaumiza sana
Nani aliyekudanganya JPM alichukiwa! Labda wewe na Familia/ukoo wako!
Mzalendo aliyetaka kulivusha Taifa la wachotaji! Mungu anawaona!
 
Magufuli alituchapa viboko tukiwa ndani ya ardhi yetu kwa muda, huyu wa sasa ametuletea nyapara wajomba zake toka Arabuni waje kutuchapa viboko ndani ya ardhi yetu milele.

Kwa hali hii kumkumbuka Magufuli ni haki.
Jamani punguzeni makali ya maneno
 
Ukweli ni kuwa kwenye misingi madhubuti ya kudhibiti rushwa, mikataba mibovu na upigaji wa ajabu ajabu hayati alinyoosha hii nchi. Maana tulianza kusahau haya maugoro.

Sisi sababu tulishazoea janjanjanja hasa Mbowe na baadhi ya makamanda tukachukia. Tukawa tunahitaji wajanja wakae madarakani.

Leo hii tunashuhudia madudu ambayo yanamuumiza mwannanchi wa kawaida huku Vigogo wa CCM wakifurahia .

Inaumiza sana
Marais wote ni zao la ccm kupitia Katiba ya ovyo.
Kwa hali ilivyo hata aje malaika ataishia tu kuwa kama waliopo!
Total overhaul...
 
Back
Top Bottom