Tulimchukia Hayati Magufuli bila sababu za msingi, sasa tumetambua kuwa alikuwa sahihi, yanayofanyika sasa ni aibu

Wosia wa Raisi Magufuli kabla ya kifo chake "nikifa mtanikumbuka.​

Siku moja mtanikumbuka - Magufuli​

Kauli 10 Tata za Magufuli Lazima Uzikumbuke Kabla Ya Uchaguzi 2020​

Wasalimie hapo Lumumba
 
Is mbowe corrupt?
 
Vipi kuhusu mkataba wa eyapoti ya chato?
 
Hilo swali ni kama upo coco beach unauliza baharini wapi?
Nauliza tu

Maana Naona Kuna watu wanajivika utakaso wakati waliuza mechi kwa mzee wa mihogo

Mtu aliuza chama kizima…. Leo anapigania bandari moja tu
 
Nauliza tu

Maana Naona Kuna watu wanajivika utakaso wakati waliuza mechi kwa mzee wa mihogo

Mtu aliuza chama kizima…. Leo anapigania bandari moja tu
Wanatafuta pesa kwa njia za mafundi wa Tabata.

Mwezi ujao wanakuja na pirika za lgbtq. Utanambia.
 
JPM alifanikiwa kwa mkono wa chuma kuzima vyombo vya habari, kuzuia watu kuzungumza , hivyo:
1. Nani anajua mikataba aliyofanya katika miradi aliyoanzisha
2. Ndiye aliyleta 'Mangungo' mjengoni wakiitikia ndiyo bila kujua wanakubali nini
3. Kuna tusiyo yajua kama pesa za Plea bargain zilizokwenda China na zingine tusizo na hatutazijua
4. Ndiye kinara wa ukabila na udini kwa kila kigezo na mifano akibomoa umoja wa kitaifa
5. Ni kiongozi aliyethamini madaraja kuliko wanadamu, vitu vilikuwa muhimu kuliko utu

Tindo JokaKuu
 
Attachments

  • Tunaingia_Mikataba_ya_kishenzi_ya_kijinga_tu_-_MAGUFULI(144p).mp4
    1.3 MB
Kwa maana ipi? kwa sababu tu hakuna wabunge wa upinzani au ni aina ya wabunge wa ccm waliyopo bungeni?

Shida ni Uchafuzi wa 2020 ,Wabunge wa hisani kwahiyo kulipa fadhila ndiyo wameuza nchi kwa NDIYOOOOOO.
 
Watanzania wengi hawawezi kuweka mawazo mawili yanayopingana kichwani na kuweza ku function.

Ni watu wa "all or nothing at all", 1 or 0, binary.

Hawawezi nuance, complexity, probability, fuzzy logic, quantum physics.
 
Shida ni Uchafuzi wa 2020 ,Wabunge wa hisani kwahiyo kulipa fadhila ndiyo wameuza nchi kwa NDIYOOOOOO.
Kwahiyo unataka kusema wale wabunge wa ccm kule kama wasingekuwa wabunge wa hisani wangeweza kwenda kinyume na serikali ya chama chao?
 
Kwahiyo unataka kusema wale wabunge wa ccm kule kama wasingekuwa wabunge wa hisani wangeweza kwenda kinyume na serikali ya chama chao?

Kusingekuwa na uchafuzi means tungepata wabunge watakaosimamia maslahi ya wananchi....Wapo wabunge toka CCM waliokuwa wanasimamia maslahi ya wananchi enzi za Sitta na Makinda.
 
Kusingekuwa na uchafuzi means tungepata wabunge watakaosimamia maslahi ya wananchi....Wapo wabunge toka CCM waliokuwa wanasimamia maslahi ya wananchi enzi za Sitta na Makinda.
Kwamba hilo bunge la Sitta na Makinda lilikuwa hivyo kwa sababu ya aina ya wabunge wenyewe?
 
Siyo nyie Chadema mlimnyali au?

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Watanzania Tunatapatapa tu
Humu mlikuwa Mkidhihaki Mpaka Maiti ya Hayati Na Kuwaona Sukuma Gang Kama Watu wasio na maarifa.
Tutulize Akili kuna Mambo Hatuelewi Tunayakurupukia tu
Watanzania Hatuelewi Tunataka nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…