UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
Kwa maana ipi? kwa sababu tu hakuna wabunge wa upinzani au ni aina ya wabunge wa ccm waliyopo bungeni?Elewa mada mkuu.
Yote haya ya kuuzwa nchi yametokana na Uchafuzi alioufanya mwaka 2020.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa maana ipi? kwa sababu tu hakuna wabunge wa upinzani au ni aina ya wabunge wa ccm waliyopo bungeni?Elewa mada mkuu.
Yote haya ya kuuzwa nchi yametokana na Uchafuzi alioufanya mwaka 2020.
Ukweli ni kuwa kwenye misingi madhubuti ya kudhibiti rushwa, mikataba mibovu na upigaji wa ajabu ajabu hayati alinyoosha hii nchi. Maana tulianza kusahau haya maugoro.
Sisi sababu tulishazoea janjanjanja hasa Mbowe na baadhi ya makamanda tukachukia. Tukawa tunahitaji wajanja wakae madarakani.
Leo hii tunashuhudia madudu ambayo yanamuumiza mwannanchi wa kawaida huku Vigogo wa CCM wakifurahia .
Inaumiza sana
Wasalimie hapo LumumbaUkweli ni kuwa kwenye misingi madhubuti ya kudhibiti rushwa, mikataba mibovu na upigaji wa ajabu ajabu hayati alinyoosha hii nchi. Maana tulianza kusahau haya maugoro.
Sisi sababu tulishazoea janjanjanja hasa Mbowe na baadhi ya makamanda tukachukia. Tukawa tunahitaji wajanja wakae madarakani.
Leo hii tunashuhudia madudu ambayo yanamuumiza mwannanchi wa kawaida huku Vigogo wa CCM wakifurahia .
Inaumiza sana
Huo ndio ukweliElewa mada mkuu.
Yote haya ya kuuzwa nchi yametokana na Uchafuzi alioufanya mwaka 2020.
Is mbowe corrupt?Ukweli ni kuwa kwenye misingi madhubuti ya kudhibiti rushwa, mikataba mibovu na upigaji wa ajabu ajabu hayati alinyoosha hii nchi. Maana tulianza kusahau haya maugoro.
Sisi sababu tulishazoea janjanjanja hasa Mbowe na baadhi ya makamanda tukachukia. Tukawa tunahitaji wajanja wakae madarakani.
Leo hii tunashuhudia madudu ambayo yanamuumiza mwannanchi wa kawaida huku Vigogo wa CCM wakifurahia .
Inaumiza sana
Vipi kuhusu mkataba wa eyapoti ya chato?Ukweli ni kuwa kwenye misingi madhubuti ya kudhibiti rushwa, mikataba mibovu na upigaji wa ajabu ajabu hayati alinyoosha hii nchi. Maana tulianza kusahau haya maugoro.
Sisi sababu tulishazoea janjanjanja hasa Mbowe na baadhi ya makamanda tukachukia. Tukawa tunahitaji wajanja wakae madarakani.
Leo hii tunashuhudia madudu ambayo yanamuumiza mwannanchi wa kawaida huku Vigogo wa CCM wakifurahia .
Inaumiza sana
Hilo swali ni kama upo coco beach unauliza baharini wapi?Is mbowe corrupt?
Nauliza tuHilo swali ni kama upo coco beach unauliza baharini wapi?
Wanatafuta pesa kwa njia za mafundi wa Tabata.Nauliza tu
Maana Naona Kuna watu wanajivika utakaso wakati waliuza mechi kwa mzee wa mihogo
Mtu aliuza chama kizima…. Leo anapigania bandari moja tu
Bwana yule bahati mbaya alisha-declare allegianceWanatafuta pesa kwa njia za mafundi wa Tabata.
Mwezi ujao wanakuja na pirika za lgbtq. Utanambia.
Ukweli ni kuwa kwenye misingi madhubuti ya kudhibiti rushwa, mikataba mibovu na upigaji wa ajabu ajabu hayati alinyoosha hii nchi. Maana tulianza kusahau haya maugoro.
Sisi sababu tulishazoea janjanjanja hasa Mbowe na baadhi ya makamanda tukachukia. Tukawa tunahitaji wajanja wakae madarakani.
Leo hii tunashuhudia madudu ambayo yanamuumiza mwannanchi wa kawaida huku Vigogo wa CCM wakifurahia .
Inaumiza sana
Kwa maana ipi? kwa sababu tu hakuna wabunge wa upinzani au ni aina ya wabunge wa ccm waliyopo bungeni?
Kwahiyo unataka kusema wale wabunge wa ccm kule kama wasingekuwa wabunge wa hisani wangeweza kwenda kinyume na serikali ya chama chao?Shida ni Uchafuzi wa 2020 ,Wabunge wa hisani kwahiyo kulipa fadhila ndiyo wameuza nchi kwa NDIYOOOOOO.
Kwahiyo unataka kusema wale wabunge wa ccm kule kama wasingekuwa wabunge wa hisani wangeweza kwenda kinyume na serikali ya chama chao?
Kwamba hilo bunge la Sitta na Makinda lilikuwa hivyo kwa sababu ya aina ya wabunge wenyewe?Kusingekuwa na uchafuzi means tungepata wabunge watakaosimamia maslahi ya wananchi....Wapo wabunge toka CCM waliokuwa wanasimamia maslahi ya wananchi enzi za Sitta na Makinda.
Siyo nyie Chadema mlimnyali au?Ukweli ni kuwa kwenye misingi madhubuti ya kudhibiti rushwa, mikataba mibovu na upigaji wa ajabu ajabu hayati alinyoosha hii nchi. Maana tulianza kusahau haya maugoro.