Bushesha jr
JF-Expert Member
- Apr 26, 2020
- 675
- 690
Umeenda mbali sana huko kisa nini? Shujaa JPM ? Sema tu hivi kuliko umkumbuke shujaa bora upakwe mafuta watu watakuelewa tuHata rais Samia auze hewa/pumzi yetu kwa waarabu. Kamwe siwezi kulikumbuka jitu fedhuli, kiuuaji, tekaji, na kupiga watu risasi kama jiwe.
Ikiwezekana lifariki tena huko liliko.
Chutama nikurengeKAMFUFUENI, DR SAMIAH SONGA MBERE!
Alimuua babayako!Muuaji hawezi kuoshwa dhambi zake hata akigawa nyumba kwa kila Mtanzania
Sisi tuliyaona haya mapema tukaaanza kutoa tahadhari, Chadema mkatuambia mama anaupiga mwingi, vipi bado anaugonga mwingi?Usichanganye cdm na nyie sukuma gang.
Wewe kiazi wa CCM usitake kupotosha umma, hakuna aliyemchukia Magufuli bali matendo yake hasa chuki aliyoonyesha wazi kwa upinzani hasa Chadema. Udhalimu wake ndiyo uliomjengea chuki,alisema kwa kinywa chake kuwa watakaochagua upinzani atawanyima huduma za kijamii,jee hii si chuki kwa upinzani? Wewe unachuki binafsi na Mbowe tu umetafuta angle ya kumshambulia.Ukweli ni kuwa kwenye misingi madhubuti ya kudhibiti rushwa , mikataba mibovu na upigaji wa ajabu ajabu hayati alinyoosha hii nchi. Maana tulianza kusahau haya maugoro.
Sisi sababu tulishazoea janjanjanja hasa Mbowe na baadhi ya makamanda tukachukia. Tukawa tunahitaji wajanja wakae madarakani.
Leo hii tunashuhudia madudu ambayo yanamuumiza mwannanchi wa kawaida huku Vigogo wa CCM wakifurahia .
Inaumiza sana
Kwa hiyo lissu kufumuliwa mwili wake kwa risasi ilikuwa sahihi? Acha kuharisha kwa kutumia vidole.Ukweli ni kuwa kwenye misingi madhubuti ya kudhibiti rushwa , mikataba mibovu na upigaji wa ajabu ajabu hayati alinyoosha hii nchi. Maana tulianza kusahau haya maugoro.
Sisi sababu tulishazoea janjanjanja hasa Mbowe na baadhi ya makamanda tukachukia. Tukawa tunahitaji wajanja wakae madarakani.
Leo hii tunashuhudia madudu ambayo yanamuumiza mwannanchi wa kawaida huku Vigogo wa CCM wakifurahia .
Inaumiza sana
makuwadi ya dpworld mliohongwa na warabu wauza watumwa tunawasubiri 2025 ndio mtaelewa vizuri.Hapana Hapana Hapana.
Tafadhalini CHADEMA, Utumiaji wa Msamiati huo Ukome mara moja----- umeleta na kutoa mwanya mkubwa sana na hata kumdhoofisha Raisi kuweza kutufikisha hapo.
Hakuna genge wala Gang Tanzania yeyote ile Tanzania inayoitwa hivyo. Kuna Kabila la Wasukuma.
Ndio maana hata kwenye hili suala, pamoja na kuwa CCM haipaswi kuchagulika, Nyie CHADEMA hampewi hata hiyo prop! Kwa sababu za Ajenda na Sera zenu za Utenganishi.....wacheni uharakati wakati wa suala hili.
These madudus that we are seeing has direct relations to the Environment you have created for years! Mmemdanganya Mama kuwa hapendwi na yeye kwenda kutoa upendeleo huko apate kujaza marobota ya kununua Uchaguzi The damage you have done is Immeasurable. Stop it!
Wasukuma hawana uhusiano na sukuma gang. Mimi nilimchukia na sababu ninazo. Ww sukuma gang maana alikupa kazi ya kuteka watu kwenye lile kundi lake la watu wasiojulikana, unaweza kumuona ni mzuri.Acha chuki na wasukuma. Hoja hapa ni namna tulivyomchukia JPM bila sababu
Mzee anawacheka Kwa zaraaauUkweli ni kuwa kwenye misingi madhubuti ya kudhibiti rushwa , mikataba mibovu na upigaji wa ajabu ajabu hayati alinyoosha hii nchi. Maana tulianza kusahau haya maugoro.
Sisi sababu tulishazoea janjanjanja hasa Mbowe na baadhi ya makamanda tukachukia. Tukawa tunahitaji wajanja wakae madarakani.
Leo hii tunashuhudia madudu ambayo yanamuumiza mwannanchi wa kawaida huku Vigogo wa CCM wakifurahia .
Inaumiza sana
Kwa tamaa ya kuolewa na Waarabu kwa sababu ya uvivu unaona kama Wapinzani hawana lolote.Mimi fara nisiwe fara, nasema hatuna mpinzani wa CCM mwenye akili timamu na msimamo. Wote ni njaa tu inahangaisha.
Akili zao ni sawa tu na wale mbwa wengine wanaoiuza nchi.
DahMagufuli alituchapa viboko tukiwa ndani ya ardhi yetu kwa muda, huyu wa sasa ametuletea nyapara wajomba zake toka Arabuni waje kutuchapa viboko ndani ya ardhi yetu milele.
Kwa hali hii kumkumbuka Magufuli ni haki.
Kamanda unanivunjia heshima kamanda mwenzakoWasukuma hawana uhusiano na sukuma gang. Mimi nilimchukia na sababu ninazo. Ww sukuma gang maana alikupa kazi ya kuteka watu kwenye lile kundi lake la watu wasiojulikana, unaweza kumuona ni mzuri.
Too late... Na hiyo ndiyo tabia ya kimasikini.... Akiibuka mtu kwenye familia ana bidii katika Kazi watesema maneno ya KILA aina... Watamuendea KWa waganga wa KILA aina... Sababu ya ambayo kwao ni yamsingi.. eti wanaona anaringa kisa anabidii katika Kazi na ana mafanikio... Haya wamempiga vita kafa... Wataanza vimaneno eti angekuwepo fulani angetusaidia hili... Mara angetusaidia kile.... Na Hapo muda haurudi nyuma tena ndo una yoyoma....Ukweli ni kuwa kwenye misingi madhubuti ya kudhibiti rushwa , mikataba mibovu na upigaji wa ajabu ajabu hayati alinyoosha hii nchi. Maana tulianza kusahau haya maugoro.
Sisi sababu tulishazoea janjanjanja hasa Mbowe na baadhi ya makamanda tukachukia. Tukawa tunahitaji wajanja wakae madarakani.
Leo hii tunashuhudia madudu ambayo yanamuumiza mwannanchi wa kawaida huku Vigogo wa CCM wakifurahia .
Inaumiza sana
Kamanda unanivunjia heshima kamanda mwenzako
Wewe ni mamluki, mwenye akili ya kupandikizwa...Sijasema popote pale Hayati Magufuli asafishwe ndio nione CHADEMA ni chama halali, isitoshe sijasema popote au kwa kuaminisha au kuashiria kuwa CHADEMA sio chama halali.Wewe huna akili kabisa unataka Magufuri asafishwe ndiyo uone Chadema ni chama halali.Endelea na msimamo wako wa kuwaamini ccm wezi wenzio ila usitupangie sisi cha kuongea na madhara yatakayokuwa yanatokea nchini hayatawaathiri CHADEMA peke yao bali hata ninyi ccm mtaumia tu huku familia chache zikiendelea kuneemeka na kuleta wajomba zao kuja kula kodi zenu.
Narudia, mmepata mwanya wa kuendeleza yale yaliyowaleta hapa, nayo ni likitokeapo mwanya wa kuzodoa kubeza kukejeli na kudhalilisha Jamii ya Mtanzania, mnafanya hivyo! Ni dhahiri mashambulio yenu ni kwa wale wanaotafuta suluhisho la umoja na mshikamano wa Watanzania. Ukijisoma hapa utaona Umejikita kubeza Jamii na kabila la Wasukuma kwa lengo la kupandikiza siasa za utenganishi na ubaguzi. Umejikita kwenye Uchonganishi. Itoshe kusema, upo hapa kuwashangilia Waarabu! Mtashindwa na mlegeeeMama ni chaguo la MWENDAZAKE Sukuma gang pure.