Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,117
- 3,153
- Thread starter
-
- #21
Kwa hiyo Magufuli kafufukaJiwe aliunda kikundi cha watu wahalifu waliobatizwa jina la "wasiojulikana". Baada ya kifo chake tu wakapotea.
Jiwe alikuwa mshenzi sana
Stupid , stupid , stupid! magufuli aliua wa kwake wengi tu na huyu anaua wa kwake. Is this difficult to comprehend?Msaidizi wa Mwenyekiti Mbowe,alivyopotea tukasema Magufuli kamteka eti msaidizi wa Mbowe alikuwa anapinga PhD ya Magufuli,Leo kapotea Msaidizi wa katibu Mkuu Mnyika,Je tutamsingizia nani wakati Magufuli hayupo!?
Soma Pia: Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
utatafuta majibu hapa hautapata vitu kama hivi huwa ni siri labda tu apatikane mtu anaejua aamue kushusha mambo hadharani ila wao wanajua ni nani,kwanini,wapi na sangapi!.Kwa hiyo mtekaji ni nani sasa? Manake polisi hawahusiki, TISS hawahusiki, JW security unit hawahusiki. Mkuu wa nchi ambaye ndiyo sauti ya mwisho nchi hii naye anasema hii kitu ni drama. Kama ni vyama vya upinzani mbona hawakamatwi? Shida Iko wapi?
Magufuli hakusingiziwa. Kama ilikuwa haki kumsifu kwa zuri lolote lililofanyika, hali kadhalika ni haki kumlaumu kwa baya lolote lililofanyika. Na kwa principal ya M/Mungu ilivyo lazima atawajibika hamna namna. Labda kama alitubu, lakini kwa kiburi kile sidhani.Msaidizi wa Mwenyekiti Mbowe,alivyopotea tukasema Magufuli kamteka eti msaidizi wa Mbowe alikuwa anapinga PhD ya Magufuli,Leo kapotea Msaidizi wa katibu Mkuu Mnyika,Je tutamsingizia nani wakati Magufuli hayupo!?
Soma Pia: Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
Kwamba ameiponya nchi na pamoja na Mbowe kufunguliwa wakati wa Samia lakini wakadai oda ilikuwa imetolewa kabla Magu hajafa.Baada ya hapo tukashuhudia Chadema wakimsifu sana SSH kuwa ameleta maridhiano katika nchi, wakamualika na kumpa tuzo kama sikosei; huku CHADEMA hao wakifanya mikutano ya hadhara maeneo mbalimbali nchini nankumsema vibaya sana kwa kejeli na matusi shujaa Hayati JPM ambaye alikuwa boss wa SSH; huku wakisema 'mama' amerejesha haki na utawala bora
Dr UlimbokaWapuuzi nyie Magufuli ndie muasisi wa Siasa za kutekana na kuuwana.
People's Power NO HATE NO FEAR!!✌️✌️✌️
Na pia hakua mchafu kiasi hicho.Magufuli hakua msafi kiasi hicho
Huwezi kufananisha hizo Awamu mbili.Dr Ulimboka
Unauzungumziaje hii ya Mzee kibao kutekwa mchana kweupe kwenye bus nani unazani atakuwa muhusikaHuwa bado nawaza sana balozi Simoni Sirro enzi akiwa IGP aliwahi kusema kuwa Polisi wana ushahidi kamili kuhusu mashitaka dhidi ya Freeman Mbowe katika kesi yake ya 'ugaidi' iliyokuwa inahusisha pia utekaji na mipango ya mauaji kwa viongozi mbalimbali wa kisiasa na tuliona kina Kingai wakienfa mahakamani kutoa matokeo ya upelelezi wao, ambapo mahakama ilimkuta Mbowe na wenzake wana kesi ya kujibu; mara ghafla bin vuu tukaona DPP amesita kuendelea na kesi, Mbowe akatoka jela yeye na washtakiwa wenzake, siku hiyo hiyo akaenda Ikulu kuonana na Samia, mara ghafla tukaambiwa maridhiano, Kisha IGP Sirro anatolewa U-IGP na kuteuliwa kuwa balozi Zimbabwe;....
Kama Vyombo vya ulinzi havitasimamia weledi basi vitaendelea kusingiziwaUnauzungumziaje hii ya Mzee kibao kutekwa mchana kweupe kwenye bus nani unazani atakuwa muhusika
Kwanini unaleta mzaha kwa uhai wa watu?Msaidizi wa Mwenyekiti Mbowe,alivyopotea tukasema Magufuli kamteka eti msaidizi wa Mbowe alikuwa anapinga PhD ya Magufuli,Leo kapotea Msaidizi wa katibu Mkuu Mnyika,Je tutamsingizia nani wakati Magufuli hayupo!?
Soma Pia: Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
Walimchafua Magufuli ili watimize malengo na walifanikiwa kwakua uelewa wa watu wengi sio mkubwa.1. Kuna uwezekano ilifanyika kuonesha JPM ndo alikuwa mbaya ili kupata uungwaji mkono dhidi ya upinzani na mahasimu wa JPM kwenye chama kwa wakati huo
2. Sasa inawezekana reverse is true. Mahasimu wa Her Excellence ndani ya chama wameungana na wapinzani kuonesha kutokuwa na uwezo wa kuwa comfort in chief Kwa kushindwa kidhibiti uhalifu nchini hata kama unafanywa na genge la wahuni wakitokea walikotokea
3. Mama anahitaji kupata washauri wazuri asije akavurugwa halafu wahuni waseme ameshindwa kazi, hafai kuendelea 2025
Hapana.Lakini ikumbukwe Mbowe hakukamatwa wala kupewa mashitaka ya kesi yake ya 'ugaidi' na Hayati JPM bali alikamwatwa na kuhusushwa na kesi hiyo wakatia WA awamu ya SSH...
Upumbavu mwingine! Unajua nguvu alizonazo rais? Unajua vyombo vyote vya ulinzi na usalama viko chini yake? Unajua kuwa ana uwezo wa kuomba hata Scotland Yard waje kusaidia? Yule mpumbavu Magufuli alikuwa muuaji na kipindi chake utekaji ndiyo ulizidi.Kosa la mzee wetu hayati lilikuwa sio kuteka, bali kukaa kimya na watu waka-assume yy ndio anayetoa order. Isemwe tu kama kuna kikosi rogue kimetengenezwa tujue moja
Sawa.Upumbavu mwingine! Unajua nguvu alizonazo rais? Unajua vyombo vyote vya ulinzi na usalama viko chini yake? Unajua kuwa ana uwezo wa kuomba hata Scotland Yard waje kusaidia? Yule mpumbavu Magufuli alikuwa muuaji na kipindi chake utekaji ndiyo ulizidi.